Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
Habari wakuu,
Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo โฆkwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika...
Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi
Kwa anaejua hospitali naomba...
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka?
JIBU: Kuna sababu kuu mbili za kisukari kuchelewesha kupona kwa vidonda:
KWANZA: Viwango vya juu vya sukari kwenye damu.
Viwango vya sukari kwenye damu vikiwa juu, vinaweza kuharibu mishipa ya damu na neva...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana.
Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini?
Wagonjwa...
Habari za majukumu wana jukwaa?
Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu.
Je, haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote.
Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Hii ni kitu kilochonitokea Mimi Binafsi wakati nikiwa naishi Wilaya ya Mlele (Inyonga) Mkoa wa Katavi. Sitataja majina halisi ya watu waliohusika na nitajitahidi kuficha baadhi ya vitu ili kuficha uhalisia wangu.
Kwa majina naitwa Kinengunengu, nikiwa nimegraduate SUA pale na kupata kazi Wilaya...
Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani?
Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida ndio maana sasa hivi tunasema ni magonjwa ya watu wote hata wa kawaida.
Tuliweke sawa hili jambo...
Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inatoa fursa ya kuongeza uelewa wa ugonjwa wa kisukari kama suala la afya ya umma duniani na nini kifanyike, kwa pamoja na kibinafsi, kwa ajili ya kuzuia, kutambua na udhibiti bora wa Ugonjwa huo
Ugonjwa wa Kisukari ni hali ya Kiwango cha Sukari kuzidi kwenye...
Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. ๐๐ฒ, ๐ธ๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐ธ๐ฎ? ๐ ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ถ๐ท๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐๐ถ๐ฏ๐ ๐ธ๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ
Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake, kwasasa dunia bado haijapata dawa ya kutibu ugonjwa huu mbaya na hatari. Kisukari inaongoza kwa...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa.
Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari.
Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
Habari,
Afya ni sekta nyeti sana ambayo sekta hiii ikiyumba ,sekta zingine zote zimeyumba.Tujiulize tuna matabibu wanaotegemea nadharia au tunamatabibu wanafanya kazi kwa moyo.?
Mwaka 2003 mama Yangu mzazi alienda katika hospitali moja, njiani iringa ,ilikuwa hospitali nzuri tu ,alienda...
James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka
Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono.
Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka.
Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.