vifaa

  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atoa Vifaa vya Michezo Lubaga Sekondari Manispaa ya Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football. Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
  2. R

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  3. Ojuolegbha

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  4. MINING GEOLOGY IT

    kwa nini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia":

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  5. amudamud

    Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  6. B

    Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟi ๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—๐—˜ ๐—ช๐—”๐—๐—จ๐—”๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐—•๐—œ๐—š๐—œ๐—ง๐—˜๐—–๐—› ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ( ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ & ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ ) ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ฒ๐—ฟ, ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ, ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ, ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น & ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—›๐——๐—— ( ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ), ๐— ๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ, ๐—ž๐—ฒ๐˜†๐—ต๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ, ๐—ฉ๐—ถ๐—ผ๐—ผ, ๐—ฆ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—บ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ, ๐—›๐—ฑ๐—บ๐—ถ, ๐—ฉ๐—š๐—”, ๐——๐—ฉ๐—œ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ๐˜€, ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ, ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ป๐—ฎ ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ. ๐—ฃ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ...
  7. ndege JOHN

    Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  8. LugaMika

    Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. โ˜… โ˜…โ˜…โ˜… โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜… OFA OFA OFA OFA...
  9. G

    Nauza vifaa vya Stationery

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  10. H

    IKIWA HIZI DAWA ZOTE NA VIFAA TIBA VIMEONDOLEWA NHIF JE NI NINI KIMEBAKI?

    HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA IDARA YA FAMASI DAWA ZILIZOONDOLEWA KWENYE KITITA KIPYA CHA MFUKO WA BIMA YA AFYA WA TAIFA (NHIF) 8/3/2024 Na Jina la dawa 1.Aceclofenac 2.Alendronic acid tabs 3 Alprazolam tablets 4 Amethocaine eye drops 5 Amiloride tabs 6 Aminophyline tabs and inj 7 Amlodipine...
  11. G

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Nauza Printer ๐Ÿ–จ ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality ๐Ÿ’ฏ Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  12. G

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh 5m

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  13. G

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery

    Nauza Printer ๐Ÿ–จ ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality ๐Ÿ’ฏ Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  14. James Hadley Chase

    Wawili mbaroni kwa kosa la kuingiza vifaa vya intaneti

    DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao wamewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi wa Kawe, Kinondoni na Hongliang Yang (35) raia wa China , mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za...
  15. K

    Walioagiza vifaa vya StarLink Internet Wakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya...
  16. M

    Naweza kununua vifaa vya Starlink ili nijitwalie Internet isiyokuwa na Janjanjanja

    Mtu ukiwa Bongoland unaweza kununua na kutumia Internet ya Elon bila ya shida yoyote?
  17. Replica

    Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force ๐Ÿ˜… Kwanini Serikali...
  18. Donnie Charlie

    Jinsi ya kusakinisha FONTS maalum katika Samsung one UI 6 au 5.1 Vifaa (Fonti 600+)

    Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
  19. mwanamwana

    Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  20. J

    Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
Back
Top Bottom