mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee makoti

    Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya. Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160. Je, Wataalamu...
  2. R

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia. Kwenu wadau. cc...
  3. Allen Kilewella

    Huu ni msafara Wa viongozi au mazoezi ya Msafara?

    Mwaka 2021 nilishangaa Msafara Wa Waziri Mkuu ulivyokuwa haujapangiliwa vizuri na nikasema ule ulikuwa ni upotevu Wa Hela za umma. - Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu? Leo Tena nimeshuhudia magari ya serikali yakiwa kwenye Msafara mji mdogo Wa Ifakara. Magari hayo yalipofika kwenye...
  4. M

    Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  5. Meneja Wa Makampuni

    Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa Waziri Mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika

    Huu ni unabii tu, Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa Waziri Mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika.
  6. sinza pazuri

    Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  7. hatym

    INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka? Utakuwa umefanya...
  8. N

    Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

    Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
  9. R

    Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  10. Mad Max

    Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
  11. 1

    Mazoezi ya Mamelodi Sundowns yana nia ovu kwa Yanga

    Huwezi kufanya mazoezi huku mmejifunika uso, halafu mnapiga mashuti yasio ya kawaida. Mnafanya mazoezi huku mnalia sana, mnaomba mechi iwe hata kesho, hii sio sawa
  12. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  13. M

    Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

    Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja. Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India. Unaweza kupata taarifa hizo...
  14. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  15. JanguKamaJangu

    Marekani yaanza mazoezi yake makubwa zaidi ya kijeshi Afrika Mashariki

    Mazoezi ya kijeshi yanayoongozwa na Marekani kwa jina "Justified Accord" yanaanza nchini Kenya Jumatatu, huku zaidi ya mataifa 20 yakishiriki katika tukio ambalo limetajwa kuwa kubwa zaidi la aina yake katika Afrika Mashariki. Zoezi hilo la siku 11, ambalo litakamilika Alhamisi ijayo, linalenga...
  16. matunduizi

    Kama ukipewa ofa ya kuchagua miaka ya kuishi na mwenyezi Mungu, utachagua mingapi. Mimi 120

    Wasalaam. Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa. Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
  17. C

    Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

    Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
  18. William Mshumbusi

    Akina Cadena na Matola bado wanawachosha wachezaji na mazoezi ya under 18. Kocha mpya hajaanza program. Tunapoteza mechi ijayo pia

    Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa. Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri...
  19. William Mshumbusi

    Wachezi wa simba wanaitaji kupumzishwa kabla ya gemu inayofata baada ya kuchoshwa na mazoezi ya ovyo ya Cadena na Matola

    Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala. Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe. Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
  20. William Mshumbusi

    Jinsi Cadena anavyoua vipaji kwa Mazoezi mengi. Tusilaumu wachezaji walishachoshwa Mazoezini. Mgunda pekee ndio wa kuivusha Simba hapa

    Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na Manula ataua timu kwa staili hiyo hiyo. Tukaweka kampeni aiache timu viongozi wakamwamini...
Back
Top Bottom