BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,120
Dkt. Mollel amesema "Ikitokea huduma za matibabu ya Mgaonjwa hayo zikatolewa bure, itapelekea huduma nyingine kusimam
a nchini. Mwaka 2022/23 gharama za msamaha kwa Wagonjwa wa Sukari na Saratani ya Tezi Dume pekee ilifikia Tsh. Bilioni 70.4".
Hata hivyo amesema Serikali inasisitiza utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007 inayotoa Msamaha kwa Wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za Afya na wenye uwezo wataendelea kulipa gharama hizo.