macho

  1. Mkalukungone mwamba

    MPYA Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habar JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  2. Raia Fulani

    Wafumba macho kumsogeza fulani

    Mungu hakika jabali Muumba, Allah, Jalali Kamuumbia mja akili Yake pekee si ya wawili Uko na wako mwandani Mwanyegezana kitandani Watazama ute ute kidoleni Naye mwali aupepea ukuni Wote mwatazamana usoni Kwa mahaba wakisi kinywani Wajua huyo wako maishani Umemjaza mwilini na rohoni Kumbe hapo...
  3. THE FIRST BORN

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga. Kuna kauli Nyingi...
  4. Vichekesho

    Naomba kujuzwa dawa ya macho kuwasha

    Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje? Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa. Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
  5. N

    KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  6. B

    Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo. kama hutaki shida na migogoro...
  7. chiembe

    CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
  8. Kiboko ya Jiwe

    Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa. Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha. Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
  9. dalalitz

    Martina Big: Mwanadada, mzungu aliejibadikisha na kuwa mweusi kama Mbantu ngozi na macho

    Hii Dunia haiishi viroja. Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa...
  10. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  11. kichongeochuma

    NIMR na Wizara ya Afya mmeshindwa kabisa kufanya tafiti na kupata tiba sahihi ya tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu?

    Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu. Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu! Hii ni...
  12. MamaSamia2025

    Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

    Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa. 1. Miriam Odemba Huyu manzi...
  13. GENTAMYCINE

    Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  14. BARD AI

    Utafiti: Kutumia Simu wakati wa Kulala kunaharibu Moyo, Ubongo na Macho yako

    #AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho. Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
  15. BARD AI

    Dar: Watu 7 wapofuka Macho kwa kujitibu Ugonjwa wa 'Red Eyes' kienyeji

    Wizara ya Afya imesema idadi ya watu waliopata upofu jijini Dar es Salaam kutokana na kutibu ugonjwa wa macho mekundu kwa njia za kienyeji wamefikia saba kutoka wanne. Februaru 8, Mkurugenzi wa Tiba, Wizara ya Afya, Profesa Paschal Ruggajo alisema watu wanne waliougua ugonjwa huo wamepata upofu...
  16. B

    Ridhiwan Kikwete: Serikali kutowafumbia macho wanaofuja fedha za TASAF

    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo. Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
  17. K

    Msaada, macho yamekosa nguvu ya kuona mbali baada ya kutumia Dawa kutibu Red eyes

    Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna. Baadaye nikapewa dwa za maumivu nikameza ikawa Ile Hali ya maumivu ya misuri ikawa imeisha. Lakini...
  18. AY 5225

    Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza kunitunuku hata ka 12 kwa bei hiyo hiyo kama offer. Be it as it may, nipo Unguja rn ila nitakuwa Dar...
  19. mwanamwana

    Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

    Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
Back
Top Bottom