shirikisho la riadha tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Gabriel Gerald Geay aanzisha kampuni ya Utalii

    Mwanariadha wa kimataifa wa mbio ndefu (marathon) Gerald Gabriel Geay ameanzisha kampuni ya utalii inayoitwa Geay Safaris and Tours ambapo makao makuu yake yapo huko Arusha, Tanzania. Geay ni mwanariadha mwenye mafanikio na mwenye udhamini wa kampuni ya adidas, pia amejichukulia umaarufu Kwa...
  2. Melubo Letema

    Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

    Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China. Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
  3. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Simbu awasili nchini na Medali ya Shaba kutoka Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
  4. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Medali ya Shaba, Daegu Marathon Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini. Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
  5. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  6. Melubo Letema

    Wanariadha 9 Kuliwakilisha Taifa kwenye Mashindano ya Dunia ya Nyika, Belgrade Nchini Serbia

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia. Rais amekabidhi...
  7. Melubo Letema

    Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

    Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha...
  8. Melubo Letema

    Jackline Sakilu Ashinda Mbio za Chongqing International Marathon, huko China

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China. Tukumbuke; Jackline...
  9. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha kutuwakilisha All African Games, Ghana

    Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Wanariadha hao 8 wakiwemo wa Mbio za Uwanjani, Mbio ndefu na Mrusha mkuki, wameondoka kwenda...
  10. Melubo Letema

    Wanariadha 8 wa Tanzania Kushiriki All African Games, Accra Ghana 2024

    Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana. Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni...
  11. Melubo Letema

    Jackline Sakilu avunja rekodi ya taifa ya Magdalena Shauri

    Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
  12. Melubo Letema

    RT yakabidhi vifaa vya mchezo wa Riadha kwa Timu mbili zinakwenda Japan na Uswisi

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland. Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
  13. Melubo Letema

    Wakili D'Souza kuongoza Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Novemba 27

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili Jackson Ndaweka alisema, kikao cha kamati tendaji kilichofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba mosi...
  14. Melubo Letema

    Wanariadha 4 wa Tanzania, Waangukia Pua huko Kenya

    Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800. Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana...
  15. Melubo Letema

    Emanuel Giniki ashinda Kilimanjaro Marathon 21K

    Mwanariadha wa kimataifa Emanuel Giniki ashinda Mbio za Kilimanjaro Marathon kwa Nusu Marathon (21K) kwa kutumia Muda wake mzuri Sana (Personal Best) wa 1:00:34 , akifuatiwa na Gabriel Gerald Geay na Inyasi Sulley mashindano yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro na kuhudhuriwa na Waziri mkuu. Japo...
  16. Melubo Letema

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
Back
Top Bottom