peke yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

    Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
  2. Leak

    Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  4. Mhafidhina07

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  5. Jidu La Mabambasi

    Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  6. Surya

    Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

    Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu. Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
  7. falcon Q

    Je, hili tatizo ninalo peke yangu?

    Habari wadai I hope jtatu iko jema kwenu Nina tatizo ambalo nikiri sijawahi kulisikia kwa mtu yeyote nimeamua kuliweka hapa kama yupo mwenye tatizo kama langu au mwenye ufahamu a share experience yake. Iko hivi huwa napatwa na shambulio la moyo pindi nking'atwa na nyuki au nyigu (bee & wasps...
  8. Gushleviv

    Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

    Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia Vodacom wananiambia kuwa nakatwa salio sababu nimejisajili kwenye huduma ya "Mdundo". Na zaidi sasa...
  9. Michael mbano

    Jambo hili naliona peke yangu tuu?

    Kumekuwa na mfumuko wa nyimbo za dini hasa kwenye baadhi ya makanisa ya walokole ambazo hata hazijengi muumini kiimani na kumfanya awe mtulivu kutafakari bali zinamfanya mtu acheze kama burudani na zinawezakuhamasisha anasa kutokana na staili yake ya uimbaji na uchezaji.Nyimbo zinaimbwa kwa...
  10. GENTAMYCINE

    Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  11. sky soldier

    Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  12. sky soldier

    Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  13. XII Tz

    Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili. Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba...
Back
Top Bottom