trafiki

  1. Tman900

    Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi ktk hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  2. GENTAMYCINE

    Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
  3. LA7

    Je, Serikali imehalalisha trafiki kupokea rushwa?

    Mimi ni mtumiaji Sana wa usafiri wa haice mkoa wa Arusha. Nimekuwa nashuhudia kila wakati nikiwa natumia usafiri huo kuona trafiki wakipokea rushwa Kama watoza ushuru wa sokoni, bila kificho chochote. Hasa maeneo ya friends cona, sasa na madereva wamezoea na kuona kwamba huo ni wajibu wao...
  4. D

    Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

    Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia! Hata kama...
  5. BARD AI

    Manyara: Trafiki akamatwa na Polisi akisafirisha Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi. Taarifa ya Polisi Manyara...
  6. Hakuna anayejali

    Trafiki mpo hapa?

    Hapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili. Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.
  7. M

    TAKUKURU kamateni Trafiki Wala rushwa

    Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
  8. Roving Journalist

    Trafiki Makao Makuu yawataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni Nchini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limesema zipo Sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya Barabara hapa nchini huku likiwataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni kwa watanzania kwa kusababisha ulemavu wa kudumu na kupoteza Maisha ya Watanzania. Hayo...
  9. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  10. BARD AI

    Chanzo cha Foleni za Dar ni Trafiki na Misafara isiyo na ulazima

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja. Pia, Trafiki husimamisha...
  11. BARD AI

    Trafiki wa makutano ya Mwenge ni kero na hatari kwa uchumi

    Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini? Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali...
  12. D

    Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

    Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad! Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo! Hadi sasa eneo hilo...
  13. BARD AI

    Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  14. aka2030

    Trafiki round about ya Goba Center anatafuta nini?

    Nashangaaa Goba Center imejengwa round about kupunguza foleni ila bado unakuta kuna trafiki jioni Ambapo sasa hata umuhimu wa kuwa na round about haupo tena foleni vile vile
  15. Hismastersvoice

    Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  16. Teko Modise

    Hivi kuna barabara ina trafiki wengi kuzidi Arusha - Moshi?

    Nimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani. Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe. Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi...
  17. N'yadikwa

    Askari wa Usalama barabarani mmeshindwa kuwadhibiti bodaboda wanaotoa side mirror?

    Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
  18. M

    DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  19. Chachu Ombara

    Video: Bodaboda Kenya ajifanya Trafiki na kuongoza magari njia ya vumbi isiyojulikana

    Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
  20. sajo

    SoC03 Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kujigeuza Mahakama wanafanya uonevu mkubwa kwa madereva

    Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
Back
Top Bottom