rose

A rose is either a woody perennial flowering plant of the genus Rosa (), in the family Rosaceae (), or the flower it bears. There are over three hundred species and tens of thousands of cultivars. They form a group of plants that can be erect shrubs, climbing, or trailing, with stems that are often armed with sharp prickles. Their flowers vary in size and shape and are usually large and showy, in colours ranging from white through yellows and reds. Most species are native to Asia, with smaller numbers native to Europe, North America, and northwestern Africa. Species, cultivars and hybrids are all widely grown for their beauty and often are fragrant. Roses have acquired cultural significance in many societies. Rose plants range in size from compact, miniature roses, to climbers that can reach seven meters in height. Different species hybridize easily, and this has been used in the development of the wide range of garden roses.

View More On Wikipedia.org
  1. bahati93

    Bahati Bukuku ni mama, Rose Mhando Ni kabinti kwenye uandishi

    Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika kutunga nyimbo zenye ujumbe na hisia kali sijapata ona. Leo ndio siku niyofumbuliwa fumbo langu la yupi...
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    TANZIA Ulale salama sajenti Rose Nyawira

    Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi. Mwendazake alikuwa mpiga picha wa mwendazake CDF Kenya
  3. Erythrocyte

    Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  4. S

    Gypsy Rose atoka jela miaka nane baadae, baada ya kumuua mama yake

    Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn. Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye dating site na aliweza kumshawishi wasadiane kumuuwa mama yake kwa sababu alikuwa akimdanganya...
  5. Just Distinctions

    Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki. Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
  6. S

    Rose Mhando amshukia Magige kumshambuli Mpina

    @rosemuhandoofficial5676 3 hours ago Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili kubwa japo hatuko huko bungeni kwenu ,Sasa hapo ndo umefanya nini kumbuka huyo ni Rais na unapojaribu...
  7. Jemima Mrembo

    Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

    ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA. Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Busiga akabidhi Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko

    MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...
  9. figganigga

    Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

    Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa. Haki zetu wenyewe nazo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  11. Mr Why

    Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

    Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa. Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson. Baada ya...
  12. USSR

    Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

    Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
Back
Top Bottom