Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo katika kipindi cha miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 3, 2024 jijini Dodoma.
Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari
Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
🕰️ 7:00 Mchana.
📆 3 Aprili, 2024.
📍 Dodoma, Tanzania.
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo...
Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure
Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2.
Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani
Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale waliokamatwa na polisi waachiwe huru.
Wakati huo huo jeshi la polisi lifute kauli yake na DPP...
Ohaa Wana jukwaa
Jf imeendelea kuwa mtandao muhimu ambao umekuwa kama mkondo wa pili wa habari kwa jamii ya Tanzania, na sasa unaonekana kama kama sehemu ya kuongelea masuala kedekede,Sababu ya uwezo wake wa kuchapisha habari haraka na kwa urahisi, na pia kwa kuwa jukwaa la user-generated...
Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo.
Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli.
Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu.
Game...
Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake.
Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti.
Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi.
Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930.
HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI
Somo 1-Wahima
KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
WAANDISHI wa habari wametakiwa kufuata kwa kina maadili ya waandishi wa habari ili kukuza weledi na umahiri wa kada ya habari na kuzifanya taasisi za kihabari ziweze kuaminika na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Akizungumza na wadau wa habari katika ziara yake iliyofanyika Zanzibar tarehe...
Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza!
Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na...
Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo.
Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea?
Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini.
HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani.
Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.