meta

Meta (from the Greek μετα-, meta-, meaning "after" or "beyond") is a prefix meaning more comprehensive or transcending.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Bosi wa Meta Mark Zuckerberg ameomba radhi kwa familia ambazo Watoto wao waliathiriwa na Mitandao ya Kijamii

    Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la Marekani. Bw Zuckerberg - ambaye anaendesha Instagram na Facebook - aliwageukia na kusema "hakuna mtu...
  2. BARD AI

    META yapewa siku 22 kujieleza inavyodhibiti maudhui ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto

    Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023. Oktoba...
  3. lui03152

    Kama unatumia GB WhatsApp soma hapa

    Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB. Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban watumiaji wa GB WHATSAPP kwa muda wa saa moja au zaidi, lakini bado watu wengi hawakuona umuhimu wa...
  4. JanguKamaJangu

    Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta, yakidai Instagram, Facebook ni hatari kwa Watoto

    Majimbo 41 na D.C. yamefungua mashtaka dhidi ya Meta yakidai Kampuni hiyo inadhuru Watoto kwa kuunda vipengele kwenye mitandao ya Instagram na Facebook ambavyo vinawafanya Watoto kuwa na uraibu wa kufuatilia muda mwingi Sehemu ya hatua wanazotaka zichukuliwe ni jitihada zaidi za Wasimamizi wa...
  5. R

    Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  6. Influenza

    Costco Shoppers yashtakiwa ikidaiwa kuingilia taarifa za wateja wao na kuzituma Meta kwa nia ya matangazo

    Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia. Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
  7. L

    Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  8. BARD AI

    META kulipa Faini ya Tsh. Milioni 243.7 kila siku kwa kuingilia Faragha za Watumiaji wake

    Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============ Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
  9. BARD AI

    META yazindua 'App' nyingine kwaajili ya kushindana na Twitter

    Mkurugenzi Mkuu wa META, Mark Zuckerberg amesema japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter lakini Mtandao huo uliopewa jina la 'Threads' unalenga kuhudumia zaidi ya Watu Bilioni 1. META imeeleza kuwa 'Threads' haitopatikana kwenye Nchi za Umoja wa Ulaya kwa sasa, itaruhusu Mtumiaji kuchapisha...
  10. BARD AI

    META yapigwa faini ya Tsh. Trilioni 3 kwa kuhamisha Taarifa Binafsi za Watumiaji Facebook

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook kwenda Marekani. DPC ilitoa miezi 5 kwa #META kusitisha uhamishaji wa Taarifa Binafsi za Watumiaji...
  11. JanguKamaJangu

    Marekani: Kampuni ya Meta yashutumiwa kuwaweka Watoto hatarini

    Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo. Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
  12. JanguKamaJangu

    Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  13. peno hasegawa

    Watanzania wanaotumia mita za luku za maji tukutane hapa

    Waziri Juma Aweso amekuwa akitangazia Umma wa watanzania kupatiwa mita Za Luku Za maji. Watanzania wenye meta hizo tukutana hapa.
  14. mrengo wa kushoto

    "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  15. BARD AI

    META kuamua kama itamrejesha Trump Facebook na Instagram

    Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram. #META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
  16. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Meta yadaiwa fidia ya Tsh. Trilioni 4.6 kwa kuchochea mapigano

    Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
  17. JanguKamaJangu

    Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za Marekani kwenye Facebook

    Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook. Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021 Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
  18. BARD AI

    Facebook yafukuza wafanyakazi 11,000 baada ya hasara ya Tsh. Tilioni 13

    Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13. Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
  19. R

    Meta inapanga kupuguza wafanyakazi wake wiki hii

    Meta, kampuni mama ya Facebook inapanga kupunguza wafanyakazi wake huku maelfu ya wafanyakazi kuathirika na jambo hili. Kutokana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Meta September 30, ilikuwa na wafanyakazi wapatao 87,000 duniani kote ikijumuisha wafanyakazi kutoka Facebook, Instagram na...
Back
Top Bottom