facebook

  1. gubegubekubwa

    Kila nikifungua Facebook nakutana na picha za ngono

    Wandugu mi sielewi. Ni muda Sasa tangu nianze kuona hizi picha yaani saizi hata kufungua mbele za watu Facebook naogopa maana lazima nizikute picha za ngono. Sijui wengine mnaziona pia daaa!
  2. A

    Facebook bado wanaona jina "Bin laden" kama (u)gaidi!

    Mtandao wa kijamii wa Facebook ambao unamolikiwa na kampuni ya Meta ambayo pia ni mmiliki wa whatsApp, Instagram na Threads wameweka restrictions kwenye baadhi ya vitu unavyovi-search unapotumia mtandao. Mfano upo hapo chini, baada ya kujaribu ku-search neno "Bin Laden" niliishia kupata ujumbe...
  3. T

    Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  4. W

    Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  5. ndege JOHN

    Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

    Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
  6. Nyamesocho

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  7. Gulio Tanzania

    Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  8. Lycaon pictus

    Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  9. H

    Jamani KERO yangu ni kwamba account nyingi za Facebook zinadukuliwa na kutumwa picha za utupu kwann hatua Kali hazichukuliwi?

    Jamani KERO yangu ni kwamba account nyingi za Facebook zinadukuliwa na kutumwa picha za utupu kwann hatua Kali hazichukuliwi?
  10. Alwaz

    Facebook na Instagram zimeathiriwa na nyaya za data za intaneti zilizokatwa Red Sea

    Nyaya tatu tu zinazodaiwa kukatwa na Houth chini ya bahari nyekundu tayari kumeleta madhara kwa mawasilaiano ya intaneti duniani. Miongoni mwa walioathiriwa na hali hiyo ni watumiaji wa mitando ya kijamii ya facebook na Instagram. Watumiaji wa mitandao hiyo wameeleza kutoweza kukamilisha...
  11. Mhaya

    Facebook na Instagram zarejea hewani

    Baada ya kushindwa kufanya kazi kwa Takriban zaidi ya saa, sasa mitandao hii miwili ya FB na IG yarejea hewani
  12. Mhaya

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  13. P

    Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  14. U

    Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni: kuposti picha / video za uchi, kuposti linki kwenye magroup kuziuza account, kuweka link na kuwatag marafiki kutapeli kutukana / kudhalilisha watu maarufu, n.k...
  15. JanguKamaJangu

    Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta, yakidai Instagram, Facebook ni hatari kwa Watoto

    Majimbo 41 na D.C. yamefungua mashtaka dhidi ya Meta yakidai Kampuni hiyo inadhuru Watoto kwa kuunda vipengele kwenye mitandao ya Instagram na Facebook ambavyo vinawafanya Watoto kuwa na uraibu wa kufuatilia muda mwingi Sehemu ya hatua wanazotaka zichukuliwe ni jitihada zaidi za Wasimamizi wa...
  16. R

    Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  17. L

    Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  18. Ben-adam

    Facebook wananitafuta visa na kutishia maisha account yangu

    habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf! Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao) Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea...
Back
Top Bottom