kisu

Kadhal Kisu Kisu (English: Rumours about love) is a 2003 Indian Tamil-language action comedy film directed by P. Vasu. The film starred Bala and Charmy Kaur in the lead roles, while Manivannan, Kalabhavan Mani and Vivek appeared in other pivotal roles. The film produced by Kesavan, had music scored by Vidyasagar. The film released in 2003 to below average collections and reviews.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha...
  2. Papaa Mobimba

    Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  3. green rajab

    Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

    Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Marekani.. Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out. “Not in stock” all shops say.
  4. Exile

    Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

    Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo. Picha ya...
  5. Bull Bucka

    Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  6. Mwalimu wa tuisheni

    Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

    Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie? Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu. Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula...
  7. GENTAMYCINE

    Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  8. O

    Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
  9. adriz

    Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

    Moja kwa moja.. Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani. Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini...
  10. R-K-O

    Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
  11. BARD AI

    Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  12. Chizi Maarifa

    Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  13. mwanzo wetu

    Sasa mambo shwari

    Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli. Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa wananisumbua, Kuna ambao mlinifuata inbox kunipa ushauri mbalikiwe sana, na wengine waliniambia dawa mbali...
  14. BARD AI

    Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
  15. Hemedy Jr Junior

    Kisu cha leo

    "kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti mbele za watu" Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
  16. Roving Journalist

    Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu. Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo. Akisoma...
  17. mdukuzi

    Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

    Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri. Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi...
  18. Idugunde

    Idugunde: CCM inawatala watanzania kisultan na kibabe watanzania walishaichoka ila basi

    Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi. Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania. Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na kurithishana kuitafuna.
  19. MK254

    Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake. Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
  20. Idugunde

    Mara: Mgambo achomwa kisu na kufariki kituo cha Polisi, alimzuia aliyemchoma kumfanyia fujo mkewe

    Askari mgambo Fred William (47), mkazi wa Kijiji cha Mkengwa, Rorya mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kisu shingoni akiwa katika kituo cha polisi Mkengwa, wakati akimzuia aliyemchoma kisu kutomfanyia fujo mke wake aliyekimbilia kituoni hapo kuomba msaada. SOURCE: EA Radio ===...
Back
Top Bottom