waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

    Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
  2. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  3. B

    Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  4. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali afanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na maafa ya mafuriko nchini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari, kuhusu hali ya mvua na Maafa ya Mafuriko nchini, Aprili 14, 2024. Dar es Salaam.
  5. Ojuolegbha

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari kuhusu hali ya mafuriko nchini, hatua zilizochukuliwa

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari kuhusu Hali ya Mafuriko Nchini, Hatua Zilizochukuliwa, pamoja na Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere.
  6. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  7. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  8. Kichwa Kichafu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  9. Roving Journalist

    Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  10. JanguKamaJangu

    Claud Gwandu: Ukifanya mahojiano na Waandishi wa Habari wa Arusha baada ya Interview wanakukaba

    Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
  11. Nyani Ngabu

    Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  12. J

    CDE. JOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

    CDE. JOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  13. J

    Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  14. The Sheriff

    MISA-TAN yahuzunishwa na DC wa Bariadi, Simon Simalenga kuwafukuza waandishi wa habari kwenye kikao cha ushauri cha wilaya

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika kikao cha ushauri cha wilaya ya Bariadi, kilichofanywa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Simon Simarenga...
  15. Roving Journalist

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  16. Jaji Mfawidhi

    Waandishi wa Habari Tanzania mna matatizo gani?

    Maswali chechefu: 1. Je, gazeti la "Mwanahabari" ni la nani? 2. Je, mwandishi aliyemtaja Naibu Waziri Mkuu, Mhe Dotto Biteko, kama "BITOKE" alikuwa anamuwaza muigizaji EBITOKE? 3. Je, gazeti hili halina Mhariri? 4. Je, gazeti hili linajua kuwa linapaswa kumuomba radhi Mhe Biteko & "Bongolanderz"...
  17. B

    Benki Ya CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari Kuandaa Taarifa zitakazochochea Ujumuishi Wa Kifedha nchini

    Dar es Salaam 19 February 2024 – Katika jitihada za kuendeleza sekta ya habari nchini, Benki ya CRDB imeendesha semina maalum kwa wadau wa sekta ya habari nchini na uchumi “CRDB Bank Media Day” iliyofanyika katika Makao Makuu ya benki hiyo yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Akifungua...
  18. Uzalendo wa Kitanzania

    Benjamin Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Wadau hamjamboni nyote Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m. The address, in which he will answer questions from journalists, comes amid an apparent deadlock in talks for a...
  19. Roving Journalist

    Utafiti: Wanaume wananyanyasika zaidi kingono kwenye vyombo vya habari kuliko wanawake

    https://www.youtube.com/watch?v=A3BiWhBGNxY Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16...
Back
Top Bottom