Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,460
17,273
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
 
Kwanza ni aibu kwa jeshi la nchi kujihusisha na mambo ya biashara...
 
Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
Kambi za jeshi zilitangulia kabla ya raia. Miaka hiyo zilikuwa nje ya mji ila idadi ya watu imeongezeka sasa
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Wamewekeza kwenye sekta nyingi nyingi tu mpaka usafi, afya, ujenzi ulinzi kupitia kitengo chao cha SUMA JKT
Fremu hizo pia zimejengwa Kigamboni ferry
Wanastahili pongezi kwa mafanikio haya na kuongeza ajira kwa vijana na wataalamu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Wamewekeza kwenye sekta nyingi nyingi tu mpaka usafi, afya, ujenzi ulinzi nk kupitia kitengo chao cha SUMA JKT
Fremu hizo pia zimejengwa Kigamboni ferry
Wanastahili pongezi kwa mafanikio haya na kuongeza ajira kwa vijana na wataalamu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni ya simu Halotel inamilikiwa na jeshi la wananchi wa Vietnam

Yes, Viettel (Halotel Tanzania) inamilikiwa na Wizara ya Ulinzi ya Vietnam lakini mwanzo wake haikuanzishwa na serikali yao au jeshi lao bali ilirithishwa tu kwa wizara ya ulinzi...

Tambua pia uwekezaji wa kwenye sekta ya mawasiliano si sawa na kujenga fremu na bar...
 
wanatafiti nini ikifika mwisho wa maazimisho wanapasua matofali kwa kutumia kichwa
Inabidi wabadilike. Wawe kisayansi zaidi. Hizi kambo zote zilizopo mjini au nieme kambo za jeshi kwa ujumla utaratibu wao wa maisha ni wa kizamani sana. Asubuhi wanakwenda master parade, wanapangiana ''fatigue duty'' al-maarufu kama ''fatiki'', ikifika mchana wanatawanyika kwenya kunywa mitaa ya karibu. Nenda pale Kawe uone mitaa ilivyo na vijumba vya kuuzia pombe na wanawake.
 
Back
Top Bottom