Mchezo wa lawama "blame game" ni kama mzunguko wa umasikini "vicious cycle of poverty" Mtoto anamlaumu Baba, Baba anamlaumu Babu, Babu anawalaumu Wahenga, Wahenga wanailaumu Mizimu n.k.
Ukiuangalia mkururo wa lawama "blame chain" hakuna anayebaki salama ndiyo maana katika mzunguko wa umasikini...
Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA
Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao.
RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika...
Utangulizi:
Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita?
Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu?
Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU
Utangulizi
Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani.
Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii yake. Hata hivyo, vijana wengi wa Kitanzania wanapoteza fursa ya kujitolea kwa ajili ya jamii zao...
Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo.
Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA
Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali panapokuwa na tatizo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Hii ndiyo maana ya uwajibikaji. Kukosekana...
KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Anaandika Tito Magoti.
Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana!
Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika.
Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
HAKI NA WAJIBU
Kuwajibika ni haki
Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote linalomaanisha sehemu ambayo watu hufanya kazi ili kujipatia chochote kitu cha kujimimu na maisha haya ya kila...
Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani?
MTWARA watoto wa shule wameoteza...
Kuwajibika ni wajibu wa kila mtu na siyo watu fulani tu kama wengi tunavyodhani. Hakuna anayepaswa kuacha kuwajibika kwa sababu kila mmoja wetu anao wajibu huo.
Suala la kuwajibika si la viongozi tu ila baki na wanaoongozwa pia. Jamii au mtu mmojammoja anaweza kufikia malengo yake ikiwa...
Na je, wananchi wanafahamu kwamba wabunge wao wako bungeni kwa niaba yao na kwamba wakifanya kinyume wawawajibishe?
Katiba ya Tanzania, ibara 63 (2) iko wazi kwa jambo hili: “Sehemu ya pili ya Bunge (baada ya Rais) itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.