Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

We mjinga au? Chadema sio ya wote kwa taarifa yako.Chadema sio ya mafisadi na wanyonyaji wengine.,
Hao wana chama chao kinachoitwa cccm
wewe nan mbona kama mnaonekana kama chadema ya peke yako. Cdm ya wote
 
Wewe ni pimbi, wewe ni kenge, wewe ni mbulumundu ndio maana umekuja hapa kumsifia mumeo Zitto...

Kwa mawazo yako ya kijinga unaamini kama Zitto asingezaliwa, Tanzania isingekuwa na mbunge hata mmoja kijana WA upinzani. Kwa taarifa yako Zitto alihujumu vijana kibao kupata ubunge kwa KUUZA kura zao kwa maCCM. Zitto Kabwe alikuwa anakemea rushwa mchana then usiku anaenda kupokea hiyo hiyo rushwa toka kwa MaCCM...

Huyu Zitto stahili yake ni kumfunga jiwe kubwa shingoni na kumzamisha Ziwani, tena Ziwa Tanganyika ili akawe chakula ya migebuka. Hana maana katika siasa za nchi hii zaidi ya kutumia siasa kama njia ya kupatia rushwa na mademu akina Wema na Diva et al
 
Ikiwa zimebaki siku chance binge liahirishwe na uchaguzi was chadema umalizike, Mbuge machachali wa zamani ndugu Zitto kabwe ameanzisha gumzo ndani ya vyombo vya habari bila watu kujua dhamira ya kufanya hivyo. Wengine wamejua kama amejutia adhabu hivyo anaomba asamehewe. Hatahivyo, kwakuwa vibaraka na washirika wake wameshatimuliwa na wengine kujiondoa wenyewe, zito hana mazingira mazuri tens ya kisiasa ndani ya chadema. Haaminiki tena na yeye anajua hill.. Huwenda kwasasa yuko anatengeneza kick ya kuondokea tu. Kwa BAHATI nzuri chadema wanajua hila zote za kijana huyu machachali wa zamani. Kwa sasa wameshaweka nyenzo tayari kwa mapambano ya hizi.
 
Zito anatafuta namna ya kurudi ili akiangamize kabisa chedema mbona hajasema km CHADEMA ni chama cha udini au la ... manake inaaminika alifukuzwa kwa kuwa yeye ni Muislam, Hilo mbona halisemi likoje??
 
Hivi Zitto anaposema amesimamia jambo fulani bungeni anakizungumzia chama au yeye binafsi? Tuseme wote Mbowe Dr Slaa na yeye yoote wanayo yasimamia wayaite yao chama kitabakia na nini?

Je unakijengaje chama kwa kusifia ulioyasimamia kuwa ni yako???

Haya jinsi ambavyo ameulizwa maswali utaona ni "leading" questions" ... kitaalam anatafuta "sympathy" anajitengenezea sura ya kuonewa ilhali yeye ni mhusika wa yoote yaliyomzunguka ....!

ACT ni chama kilicho sajiliwa haraka sana kwa kasi ya ajabu .... hapa anasema ni watu wenye idiolojia yake ... hii inahuisha mahusiano yake na ACT hapo hapo anadai atakua mtu wa mwisho kuhama chama... tuseme ameshinda hiyo kesi mahakamani ... maamuzi yake itakua kubaki CHADEMA? Mbona hili hawa kumuuliza hao waandishi???
 
Zitto amekuwa ziro wakati. Makamanda tunapambana arumeru alienda mwandiga akatafuta viwazee njaa akawambia ubunge sasa bac nataka uraisi leo anakula matapishi yake mwenyewe juzi nilishangaa aliposema anataka ubunge
 
sasa wewe kama haukuwepo ndani ya kikao uliyasikiaje haya? kwa akili hizo ulizo nazo umejionyesha how low you are
 
so tangia alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti -Demokrasia
 
kila mtu ana haki ya kugombea nafasi anayoitaka ndo demokrasia au wewe msamiati wa Human right and democracy umekupitia wapi?so far huna hoja mpuuzi wewe umejawa na matusi tu
 
Dah siasa bwana,,ok sawa ndio siasa,,aangalie wapi kaanguka,,kwa hali hii tutamsahau.
 
kila mtu ana haki ya kugombea nafasi anayoitaka ndo demokrasia au wewe msamiati wa Human right and democracy umekupitia wapi?so far huna hoja mpuuzi wewe umejawa na matusi tu

Zitto kishafukuzwa tayar CHADEMA.
Hili pia bado hauamini ?
 
Habari mkuu ! kwanza naheshimu mawazo yako. Lakini naomba nijibu kwa kifupi sana uchambuzi wako mzuri uliojaa dharau sana. nashukuru sana kwa kuhoji elimu yangu na kuwa na wasiwasi huenda nimeishia darasa la nne, na pia kuyaona maswali yangu kuwa ni ya KITOTO. Kwa kuhoji hivyo tu, mie nadhani wewe lazima utakuwa Profesa. MH prof, huoni kuwa maswali yangu kwa MH Zitto licha ya kuwa ni ya kittoto na ya mtu alieshia la NNE lakini yamekuvuta wewe prof kuja kuyajibu, kuyachambua na kuyafafanua? kwa niaba ya MH Zitto? Hata hivyo prof umesema mimi nimerudiarudia mambo ambayo Zitto alishayatolea au yalishatolewa ufafaunizi.mkuu kiukweli aliyesababisha nirudie ni MH Zitto mwenyewe kurudiarudia kuongelea mambo amabayo mjadala wake ulifungwa kwanza na yeye mwenyewe na pili na Dk Slaa.zitto katika kufunga mjadala alitamka kuwa "anafunga mdomo wake" Slaa yeye alitamka kuwa "mjadala wa Zitto umefungwa" Sasa leo Zitto kaibua mjadala upya na hakuna jipya alilozungumza, je kuna ubaya gani kujadili na kumuuliza maswali ambayo sisi washabiki wake tunaona kama anatutatanisha? MH prof hivi sis iwenye maswali ya kitoto na tulioishia la nne tumepoteza haki ya kuhoji au kuuliza maswali kwa viongozi wetu? hususani yale yanayotutatiza? MH prof Huoni kuwa MH Zitto ni mwanasiasa wa level ya juu sana ambae sisi tulioshia la nne na pengine ni wakulima wa tumbaku huko Igalula au Ifupila tunahaki ya kuhoji? MH Prof wasomi wengi sana wa level yako huwa hawadharau elimu ya Mtanzania kwa sababu hakuna msoni asiejua kuwa kwa nini Watanzania wengi wameishia la nne.Fanya utafiti prof. Mwalim Nyerere hakudharau watu ambao hawakusoma ndio maana kila alipokua akiongea na wakulima wa pamba,katani,kahawa nk huko vijijini aliongea na kwa lugha ambayo alijua watamwelewa, na alipoongea na wasomi na wanafunzi wa vyuo vikuu alitumia lugha ya kisomi na alipoongea na wakuu wenzie mfano umoja wa mataifa aliongea kwa lugha inyowastahili. Prof turudi tena kwenye mada.mambo niliyomuuliza MH ni kwa mfano mawasiliano yake na akina Zoka na akina Rostam yalikua ni kwa manufaa kwa chama chake?wewe umehoji kuwa TISS kuripoti kwa Slaa ni ushujaa? Mini nakuhoji tena wewe hao wanaoripoti kwa Slaa ni kwa manufaa ya CHADEMA au kwa Slaa binafsi? Hayo mawasilano ya Zitto na Tiss na Slaa na TISS waliwashirikisha wenzao chamani? Prof nisamehe sana hunda nilikosea kusema CELLPHONE nilikua nataka kumaanisha MObilephone bahati mbaya mimi sijasome mambo ya ICT.Hatahivyo natambua kabisa kuwa wapo watu wanaweza kutengeneza Bank statement na statement ya kuonesha mawasiliano ya massage.hapa hoja yangu ilikua hivi. kama mtu amezushiwa tuhuma kubwa kama hizi za kuingiziwa pesa kwenye account au kuwa mawasiliano yake ya meseji na au M pesa, tigopesa si kuna namna ya ku verify? Prof ukienda kuomba visa ubalozini na bank statement fake si ubalozi unaweza kwenda benki husika kujiridhisha. Je? Zitto amelifanya hili ili kukomesha wapambe waliofitinisha?Unajua kiasi anachotuhumiwa MH ni kikubwa kuliko vijisenti vya Chenge.Labda mimi sijui kama hatua hizo zilichukuliwa na MH.Prof naomba niishie hapa ila kwa kujibu ushauri wako wa kushabikia vyama, mimi naipenda Chadema kwa sababu ya huyuhuyu ZITTO nitaendelea nayo hadi itakapoondoka kwenye misingi yake. Nawaunga mkono CUF,NCCR kwa harakati zao za kuing'oa CCM bara na visiwani. Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Chadema ni vigumu sana kuwaamini waislamu, waliopo watatumika kama toilet paper..akiwa bright upstairs watatafuta namna ya kummaliza ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…