Ukawa gani unayoizungumzia?Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Unaweweseka tu,hesabu zinaenda kuitoa chadema kama upinzani rasmi
Ukawa gani unayoizungumzia?Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Una mwamini vip mtu ambaye alimkaribisha fisadi na kiti cha ufalme akampa ? haiwezekaniKama nyinyi wapinzani (CDM na ACT) hamuaminiani sisi wananchi tutawaamini kweli?
Zitto ni takatakaSio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Hivi ulijificha wapi? Au ulibadirisha ID?Zitto ni takataka
Akili za kuvukia barabara tu.Zit ndiye pekee atakuwa na wabunge wengi wa upinzani 2020 - 2025. Chadema mtakataa lkn ukweli ndiyo huu
VipiZit ndiye pekee atakuwa na wabunge wengi wa upinzani 2020 - 2025. Chadema mtakataa lkn ukweli ndiyo huu
Hata mimi sikuwahi kumuona Zitto kama mpinzani wa kweli.. wapinzani wa kweli ni Chadema - Mbowe na LissuSio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Zitto haaminiki, hajawahi kuaminika na ndio maana huwa hakamatwi, ni ccm pureKama nyinyi wapinzani (CDM na ACT) hamuaminiani sisi wananchi tutawaamini kweli?
Kubadirisha ID ili iweje?Hivi ulijificha wapi? Au ulibadirisha ID?
Umejua hujui
wewe ndo ulisema Bora corona ije bongo ili nguvu zitumikazo kuua wapinzani zitumike kupambana na coronaKubadirisha ID ili iweje?
Tatizo la Zitto siyo mchaga na alikataa kumwabudu mungu Mbowe.Hata mimi sikuwahi kumuona Zitto kama mpinzani wa kweli.. wapinzani wa kweli ni Chadema - Mbowe na Lissu