Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Ukawa gani unayoizungumzia?
Unaweweseka tu,hesabu zinaenda kuitoa chadema kama upinzani rasmi
 
Zit ndiye pekee atakuwa na wabunge wengi wa upinzani 2020 - 2025. Chadema mtakataa lkn ukweli ndiyo huu
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Zitto ni takataka
 
Zitto ni mcheza na opportunities
 
26678901.jpg
1456109.jpg
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Hata mimi sikuwahi kumuona Zitto kama mpinzani wa kweli.. wapinzani wa kweli ni Chadema - Mbowe na Lissu
 
Baada ya kukubali maridhiano na serikali ya SMZ?
 
Back
Top Bottom