Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Napenda sana jinsi CHADEMA kinavyomshughulikia Zitto.

Ukitaka kumjua Zitto vizuri tuulize sisi tuliofanya nae kazi.

Zitto ni NYOKA NYOKA NYOKA. Zitto hatakuja kuaminika hata atambike uchi mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito aliondoka CDM kwa ugomvi wa madaraka.
CDM walitaka Zito apotee kwenye siasa baada ya kumfukuza sasa naona huenda huyu Zito baada ya uchaguzi wa 2020 atakua na nguvu zaidi.
Tuvumilie tu kula ni kwa kupokezana na lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
Kama CDM walishindwa kumwamini Zito wakamwamini Lowasa na Sumaye na genge lao nahisi wanatatizo kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.

Technically uko sahihi kabisa, ni sawa na kuwa wewe haujawahi kunishawishi wewe sio shoga!!! yaani unavyoandika, unayoyafanya, infact mpaka bi mkubwa wako naona kabisa anajua wewe ni si riziki
 
Kwahiyo Chadema ya Mbowe iliyoruhusu mafisadi yagombee urais 2015 ndio wapinzani wa kweli?

Mbowe aliyebadili katiba ya chama ili atawale milele ndio mpinzani wa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app

hakuna aliyewahi, si yeye, si mbowe, si chadema wote, wala si LIssu
 
Napenda sana jinsi CHADEMA kinavyomshughulikia Zitto.

Ukitaka kumjua Zitto vizuri tuulize sisi tuliofanya nae kazi.

Zitto ni NYOKA NYOKA NYOKA. Zitto hatakuja kuaminika hata atambike uchi mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli unachosema kiongozi, lakini Kama aliaminika Lowasa, Sumaye sioni kama Kama watu wenye akili watashindwa kumuamini Zitto.
 
sasa Mbowe aliewakaribisa wana CCM wakina Lowasa, Sumaye, ndio mpinzani sio? hahaha kati ya Zitto na Mbowe nani yuko karibu zaidi na ccm?
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Hata mimi nipo upande wako mkuu zzk ni mtu wa system yupo special kuharibu move zote za vyama vya upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kuwa Zitto hajawahi kuwa mpinzani.
Sistim kokote duniani lazima iwatafute watu wajanja wajanja kama Zitto wa kuharibu upinzani.
Wajanja zaidi yake tunamuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kuwaamini hao wenye wanaojulikana kuwa ni CCM waziwazi, kuliko mnafiki na aliejaa hadaa Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli hamnazo na mahaba yatakupeleka pabaya , unaweza kujadili habari ya Zito Kwabe wakati ulimpokea mtu uliemuimba fisadi(Lowasa) kwa Zaidi ya miaka 5? ukatafuna kauli yako kwa UROHO wa madaraka na ruzuku ebu muwe mnajiangalia kwenye vioo muone aibu
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Zitto ni proxy
 
Back
Top Bottom