Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Wewe kweli hamnazo na mahaba yatakupeleka pabaya , unaweza kujadili habari ya Zito Kwabe wakati ulimpokea mtu uliemuimba fisadi(Lowasa) kwa Zaidi ya miaka 5? ukatafuna kauli yako kwa UROHO wa madaraka na ruzuku ebu muwe mnajiangalia kwenye vioo muone aibu
Doesn't make ccm and Zitto good
 
Hawa mabwashee hayana akili.

Yanamwamini Lowassa na Sumaye kuliko Zitto.

Yaani ukiicheki unagundua ni mijitu iliyolewa Kisusio tu.
ni majinga kweli
yaan unakubali kumpoteza Zito, Kitila halafu unampokea Lowasa na Sumaye then unampoteza tena Dr. Wilbroad Slaa

Halaf wanataka tuendelee kuwaamini dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza wanatoa wapi ujasiri wa kumsema Zitto watu waliojaa tamaa hawa za madaraka na uroho wa ruzuku
 
Mbona ccm unaiengua kwa Zitto? Vitaje pamoja.
Mimi nazungumzia Zito na Chadema nyie mkae kimya bora Ccm kuliko chadema , miaka 10 unamtukana mtu ila siku moja unamsafisha anakuwa mgombea wa Urais halafu unakuja kutupigia kelele humu
 
Ccm inateka na kuua by default huo ubora inautoa wapi?
 
Una haki ya kumnyooshea Zito kidole wakati boriti yako ni kubwa kuliko ya Zito toa kwanza Boriti katika jicho lako
Ni hofu na uoga wanapofikiri kukabidhi uongozi wa kambi ya upinzani kwa ACT baada ya uchaguzi mkuu.
 
Ukweli ni kuwa Zitto hajawahi kuwa mpinzani.
Sistim kokote duniani lazima iwatafute watu wajanja wajanja kama Zitto wa kuharibu upinzani.
Wajanja zaidi yake tunamuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye group la wajanja haumo, Manisha
Umeaminishwa na Mbowe,.na ilivyo mnyam ukajaa
 
Al
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Aliye kushawishi ni Tundu Lissu na mbowe na Mtei na Hashim Rungwe. Siasa hizi hamna kitu. Lengo la Vyama vingi ilikuwa ni nchi kuwa na Vyama vingi vya upinzani kwa Maslahi ya nchi. Saizi imekuwa tofauti vimegeuka kuwa vya Madili.
 
Kwa taarifa yako tu, mie sio muumini wa kuabudu majina, ZTTO NI NYOKA!
Wewe kweli hamnazo na mahaba yatakupeleka pabaya , unaweza kujadili habari ya Zito Kwabe wakati ulimpokea mtu uliemuimba fisadi(Lowasa) kwa Zaidi ya miaka 5? ukatafuna kauli yako kwa UROHO wa madaraka na ruzuku ebu muwe mnajiangalia kwenye vioo muone aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Very true,,nikikumbuka na walivyokabidhi ilani yao kwa CCM afta uchaguz naungana na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Fafanua kivipi sio mpinzani na chama chake, toa viashiria vya matendo yke na chama ili tupime uhalisia Wa hoja yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom