Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
Siwezi kupoteza muda wangu kumjadili Zitto ni afadhali hata kumzungumzia Lowasa kuwa Rais linaweza kuwa jambo la maana sana. am tired with the same stupidity every time from the Man who think he is Genius na sisi wengine wote mazezeta.

5+copy.jpg

4+copy.jpg
 
Nakubaliana na Shardcole. Kauli ya Zitto Zuberi Kabwe ya Kawaida kabisa kutolewa na jirani zetu wa hapo Burundi.
No wonder, jirani zetu Warundi hawaishi kuwa wakimbizi kwani ubinafsi ndiyo drive engine ya maisha yao.
Bora Zitto mburundi kuliko Slaa msudni kusini
 
Mmhh huyu mtu huyu, kazi ipo,... Ila nadhani angejiangalia kwa kweli alivyokuwa 2008 na leo,,,, nadhani anatia shaka somewhere
 
And the Public being through JF, ndivyo tunavyosomeka..

Kwanini kuhoji kauli ya zitto iwe kwasababu ya uislamu wake.
Kwanini utetezi wa kauli ya zitto uwe kwasababu ya ukristo na CDU wa CHDEMA.
Kipi sio sahihi.

Stop being so sensitive.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjadili Zitto ni afadhali hata kumzungumzia Lowasa kuwa Rais linaweza kuwa jambo la maana sana. am tired with the same stupidity every time from the Man who think he is Genius na sisi wengine wote mazezeta.

5+copy.jpg
Nawapenda sana vijana marijali Kama Zitto ambao wanautumia vizuri ujana wao siyo Kama Slaa wanaokuja kuzaa uzeeni na watoto wanakua kama wajukuu zake
 
Ninaamini demokrasia nayo ina taratibu na busara pia mkuu. Kwanini asitangazie kwenye vikao mahsusi vya chama??ama basi hata akasubiri kidogo walau 2015 ijongee karibu ili kama chama kiamue kwa pamoja?...

Mkuu,
Ninakubaliana na wewe katika swala la subira. Zitto kama kiongozi alipaswa awe na subira kidogo katika hili la kujitangaza kama atagombea Urais. Lakini ninaamini anafanya hivi mapema ili kuamusha hisia za wananchi wanaotoa maoni ya katiba ili umri wa mgombea Urais upunguzwe ili apate nafasi ya kugombea kwa vile kwa umri wake, Mwaka 2015 atakuwa hajafikisha kiwango cha umri unaotakiwa kwa mwananchi kugombea Urais.

Ninajua kuna watu watasema kauli yake imebeba mbegu za ubaguzi, lakini tujue kuwa hata hii katiba imebagua watu fulani kutokana na umri wao kwa vile kama inaruhusu mtu umri wa Zitto kabwe au 'Toto Janja', 'Sugu' ama Mdee kuwa mbunge na waziri, kwa nini asiruhusiwe pia kuwa Rais wa Nchi.

Sikubaliani na wewe katika swala la kutangaza nia yake kwenye vikao vya chama kwa sababu, taratibu za chama hazimzuii mwanachama yeyote kutangaza nia yake ya kuwa kiongozi wa chama au wa nchi katika muda wowote.
 
kama katiba itamruhusu na chama kimteue acha agombee.! Ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
 
UDINI itakimaliza CHADEMA tatizo la zitto ni uislam wake chama anachokipigania kina mrengo wa kueneza UKRISTO na misaada wanapokea CDU ya ujerumani.

think bid we juha usie na maarifa, nani kaongelea dini yamtu hapa ww mwanaCuf? Au kusema lichama lenu ndio la kijeidina tu? Au upo tayari kuendeleza propaganda chafu za CCM na udini ?

Jadili hoja ww maswala ya kanisa nenda vatican au ya uislamu nenda saudi arabia huko na sio hapa Tz!

Mnaboa sana wana CUF mnaoendeleza upumbavu wenu wa kidini daty hamuendelei na mnabakia kucopy na kupaste.
 
kwanza amewatukana wazee wote Tanzania huku ni kukosa busara na hana sifa ya Uongozi kwani ni mbaguzi. Wapo Wazee waliozaliwa kabla ya uhuru na wanailetea Tanzania maendeleo na wapo wapuuzi waliozaliwa baada ya uhuru ni wapuuzi wa kutisha . Zitto hana busara kwa hili

Kama kauli ya Zitto atakuwa amewatukana wazee, huoni katiba ya nchi ina ubaguzi wa hali ya juu kama siyo kuwatukana wananchi wenye Umri wa miaka 18 mpaka 40 kwa vile haiwaruhusu kugombea Urais lakini inawaruhusu kuwa wabunge na mawazari.

Acheni siasa za upande mmoja wa shilingi
 
Nakubaliana na Shardcole. Kauli ya Zitto Zuberi Kabwe ni ya Kawaida kabisa kutolewa na jirani zetu wa hapo Burundi.
No wonder, jirani zetu Warundi hawaishi kuwa wakimbizi kwani ubinafsi ndiyo drive engine ya maisha yao.

too sad! U quoted m wrong.

Kajipange tena Mkuu.
 
chadema ijifunze ccm namna ya kuhandle wasaliti na waropokaji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ukweli husemwa:

Mbona Zitto Kabwe akiongelea swala la Urais watu wengi hapa janvini wanaanza kusema analeta migongano ndani ya chama. Ina maana tayari kuna mwanachama fulani ameandaliwa na chama kugombea Urais. kama ndivyo hivyo, basi Chama kimevunja taratibu na kanuni zake. lakini kama mwanachama ameandaliwa na wanachama wa chama siyo kosa kwa Zitto Kabwe kutangaza kuwa atagombea kwa vile na yeye ni mwanachama kama wanachama wengine ambao wameandaa mgombea wao.
 
Kuna ubaya gani lakini mbona nilichoelewa ni kwamba Wazee wang'atuke waachie vijana. Ebu jiulize wewe mtu alikuwepo madarakani toka tupate Uhuru ina maana huyu alikuwa kijana wa miaka 18 kuendelea, leo hii miaka 50 baadaye bado anataka kuwa madarakani... Come on now ukishafika miaka 70 kuwa mlezi wa chama, pilka pilka hutaziweza, kubali kuitwa babu waachie wengine waiendeleze familia.
Mkandara,
Natamani ungekuwepo wakati Reagan anagombea urais mwaka 1980. Ushauri wako ungewasaidia sana Wamarekani.
Lakini yote hayo kwangu naona kuwa ni ubaguzi. Kuna ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa kiumri.
 
Kuna ubaya gani lakini mbona nilichoelewa ni kwamba Wazee wang'atuke waachie vijana. Ebu jiulize wewe mtu alikuwepo madarakani toka tupate Uhuru ina maana huyu alikuwa kijana wa miaka 18 kuendelea, leo hii miaka 50 baadaye bado anataka kuwa madarakani... Come on now ukishafika miaka 70 kuwa mlezi wa chama, pilka pilka hutaziweza, kubali kuitwa babu waachie wengine waiendeleze familia.
Na vipi aliyezaliwa tarehe nane mwezi wa kumi na mbili mwaka elfu moja mia tisa sitini na moja, 8/12/1961?
 
MBONA watu wanapandisha presha haraka sana? Mwacheni Zitto ajitangaze hata kugombea U-PAPA wa Vatican.

Kama katiba inamruhusu basi mwacheni aende. Ila wapiga kura tunajua nani anakihangaikia chama kila siku.

Watu mikoani na hasa kwenye M4C wanawaona ni akina nani wanapigwa Mabomu wakati wengine wameenda Majuu kutalii na kula maraha na viongozi wa CCM.

Hapa kuna ka ukweli kwa mbaali. Msiwe na wasiwasi kwa hili......

From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa.html


Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

Vot979.
This poll will close on 25th October 2012 at 09:52

Zitto Z. Kabwe (kura)151 15.42%

Wilbrod P. Slaa (kura)828 84.58%
 
Kwani ni uongo? Hao wazee wamefanya nini la maana, sio ccm wala cdm, wazee wanasiasa wote wanafata siasa za kizamani, Kumaintain vitambi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom