Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
Katiba haimruhusu kugombea kwani atakua hgajafikisha miaka 40 unless katiba ibadili hilo which I don't c this hapening.
 
UDINI itakimaliza CHADEMA tatizo la zitto ni uislam wake chama anachokipigania kina mrengo wa kueneza UKRISTO na misaada wanapokea CDU ya ujerumani.

Kwahiyo zitto ana tatizo, na tatizo ni uislamu wake.
Ok, kwahiyo uislamu ni tatizo.
 
Wakuu,

Sekunde chache zilizopita nimemsikia zito kwenye exclusive interview na Millard Ayo wa clouds fm akitamka yafuatayo ..."Wazee wetu walitusaidia kutupatia maendeleo ya kisiasa, sasa ni jukumu letu kuleta maendeleo ya kiuchumi. Ila naomba nisisitize, jukumu hili haliwezi kutekelezwa na mtu yeyote aliyezaliwa kabla ya uhuru.."

Swali: Zitto anataka nini hasa?ana haja gani ya kuendeleza siasa za controversy namna hii kila siku?Je anatafuta umaarufu?

Binafsi ninamshauri aamke. Sisi ndio wapiga kura, atuache tuamue.
Watu wengine hawana Kazi Kweli Zitto hata akikohoa lazima waropoke.....inaonekana unampenda Sana Zitto sema huwezi kumfikia ndo mana umechagua kumchukia
 
Time will tell, haina haja ya kutapatapa kama wafanyavyo magamba.kama atapitisha ok!! asipo pitishwa na chama itabidi akubali!!
 
#AMPLIFAYA Sep27 #2 ZITTO
KABWE: nitagombea Urais 2015
sitogombea tena Ubunge, kuna
watu wanajiona ni CHADEMA zaidi
kuliko mimi lakini hawajui.

Source: Amplifaya - Clouds fm.
 
mkuu chama chetu kinaongozwa na katiba ya chama, so hakuna kipengele chochote ambacho Zitto amevunja, pia inabidi tufike mahali tusiwe sensitive sana ktk kila neno koz tutajikuta tunapoteza lengo la kupigana na adui (CCM).

Plz lets buld our CDM.

Nakubaliana na Shardcole. Kauli ya Zitto Zuberi Kabwe ni ya Kawaida kabisa kutolewa na jirani zetu wa hapo Burundi.
No wonder, jirani zetu Warundi hawaishi kuwa wakimbizi kwani ubinafsi ndiyo drive engine ya maisha yao.
 
Person centered. . . . A loner like him . . . . Jimboni kwake ipo shughuli mwaka 2015.
 
Watu wengine hawana Kazi Kweli Zitto hata akikohoa lazima waropoke.....inaonekana unampenda Sana Zitto sema huwezi kumfikia ndo mana umechagua kumchukia

Punguza munkari..tunadiscuss idea. Hakuna mwenye lengo la kufikia busara ya zitto kama busara hiyo ndiyo hii.
 
Back
Top Bottom