Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT
Achana na wanafki, hivi inawezekana vipi jitu linashinda jukwaa la siasa siku zote halafu akwambiye hana chama anachokiunga mkono!!.....huu ni utoto, na kuna mwingine anaitwa Mohamed Shossi tangu CUF ife eti naye anajifanya hana chama wanafki wakubwa hawa!!
Kweli itakuweka huru mkuu.... hapa sana sana unaidanganya nafsi yako tu, kila member anayekuja hapa jukwaani ana mapenzi au anakisapoti chama fulani, ni unafki wa hali ya juu kusema huna upande, na wewe ni mwislamu nenda kasome vizuri kitabu unachokiamini Koran uone kinasema nini kuhusu wanafki halafu ndio urudi hapa kukanusha kama wewe hauna mahaba na CUF.Alaaa kumbe nilikuwa CUF sina habari hiyo ndio naipata kutoka kwako enh kadi yangu ya uanachama ninamba ngapi?
Ni maajabu sana kuwasoma watu waki question alliance ndani ya vyama wakati hawa hawa hawamkubali Zitto mwanachama mwenzao na hivyo kuunda kundi dhidi yake. Ningependa sana watu wanaopinga mgawanyiko ndani ya chama waonyesha wenyewe mfano kwanza na sio kupinga mtazamo wa mtu mwingine kwa sababu tu hakubaliani na mtazamo wao na wakifanya yale yale wanayo yalaani.Alliance ndani ya the same part, same slogan,the same vision, the same mwenyekiti,why all that for?Sijapata kusikia Alliance ndani ya chama kimoja,nimeshuhudia alliance kiaina ndani ya CCM ikabatizwa jina MTANDAO [NETWORK] madhara yake tiba yake mpaka leo ndio ugonjwa unaotka kuitia CCM matatizoni.
Kweli itakuweka huru mkuu.... hapa sana sana unaidanganya nafsi yako tu, kila member anayekuja hapa jukwaani ana mapenzi au anakisapoti chama fulani, ni unafki wa hali ya juu kusema huna upande, na wewe ni mwislamu nenda kasome vizuri kitabu unachokiamini Koran uone kinasema nini kuhusu wanafki halafu ndio urudi hapa kukanusha kama wewe hauna mahaba na CUF.
Kila siku huwa nasema Zitto hafikirii mbali na anapenda masifa ya kipumbavu lakini skeleweki. Huyu Zitto ni pandikizi la CCM ambalo limejificha. Muulizeni nyumba na gari alizohongwa na Nimrod Mkono zilikuwa zawadi za nini? Ama yeye Zitto kapata nafasi katika moyo wa Nimrod?Zitto siyo kuwa hajakoma, ana haki na kakomaa, hebu fikilieni wanajamvi hivi mnakumbuka marais wa nchi hii, mbona wengine Zitto keshawashinda vigezo? Labda umri lakini mambo mengine yuko juu yao, Kwa hekima hebu pima kati ya Zitto na Mkapa!!
Hivi ni nani asiye Mroho wa madaraka Chadema?Kila siku huwa nasema Zitto hafikirii mbali na anapenda masifa ya kipumbavu lakini skeleweki. Huyu Zitto ni pandikizi la CCM ambalo limejificha. Muulizeni nyumba na gari alizohongwa na Nimrod Mkono zilikuwa zawadi za nini? Ama yeye Zitto kapata nafasi katika moyo wa Nimrod?
Tunahangaika na kampeni Arumeru, huku Tundu Lissu kabanwa makusudi, Mnyika yaleyale, sasa tumepapasa na kuishia kukosea kumleta Mdee maana na yeye katekwa na siasa za chooni 'toilet politics', Zitto kama kiongozi wa juu kabisa CDM hakupaswa kuwa ngumbalu kiasu hicho, ni
afadhali angejikita ktk harakati za kampeni Arumeru kuliko kuhojiana ujinga na akina Kibonde wa "Clouds CCM 2" ambao wanasikilizwa siku hizi na wavuta bange maana wenye akili zao hawawezi kupoteza muda kusikiliza upuuzi wa Jahazi.
Zitto wakati Kikwete akienda kutalii south sudan siku zile inajitenga na kutambuliwa rasmi alikuwa bega kwa bega na Kikwete, na nakumbuka Kikwete alisema 'anatamani kama rais ajaye atakuwa kijana'. Sasa hivi ni mjinga gani atakayempa kura Zitto anayezungukwa na mashutuma lukuki yakiwemo ya umalaya uliokubuhu! Mods nivumilieni nimpe ukweli wake.
Hivi toka lini mroho wa madaraka kama Zitto akawa mzalendo!? Ndio maana nawaaminisha wana jf kwamba zitto ataiua CDM kabla ya 2015, nasema haya kwa kuwa moja kama huyu ndumilakuwili na mnafki atafukuziwa mbali atoke chadema basi chama kitapoteza wanachama wajinga wengi wengi na itakuwa too late kujijenga kama ilivyo sasa, pili kama Zitto akiachwa basi hili ni timing bomb siku zikikaribia 2015 atajilipua mwenyewe ili kuimaliza CDM na hapo CDM itabakia at the footnotes of political history, na mwisho kama mnafki huyu akinyamaziwa muda huu atajijenga na atazidi kuropoka maujinga na CDM itakuwa vulnerable kuliko kuda wowote.
Mwenye hekima na asome mawazo haya na ayatambue, haya ni ya kisiasa na hekima tu, na tafsiri yake ni ya kihistoria, someni nyakati.
Ni mimi Pangu Pakavu,
Nimerudi kivingine,
Nawasalimia.
Mwambie kuna watu wanaitwa Pelle Tanzania kwani wanausiano na Pelle wa Brazili,mwambie yaweza kuwa mzazi wako alilipenda jina la Nyerere akakuita,kama nyerere alivyolipenda jina la madaraka day akamuita mwanae madaraka.Au anashanga ilo akashangae jina Gauncho Usiwamini Waongo ilo jinandani Kisanga Msangule Kisalawe Pwani,wakati mwenye jina Gaunch yuko Brzailia.Hehehee haya bwana!
Aisee kwa kweli sijajuwa ni kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kwa jambo ambalo liko wazi, hapa hoja sio umri wa mgombea Urais bali hoja ni nani mwenye sifa za kuwa Rais bila kujali umri wake, ndio maana tunasema ikulu hakuna mashindano ya urijali kusema wanaitajika vijana tu.
Ni hivi hatuwezi kutengeneza katiba ya kumfurahisha Zitto Kabwe wala January Makamba, tunatengeneza katiba ya kutupeleka miaka 50 ijayo kwahiyo hata ikionekana umri wa Urais uwe ni miaka 20 is fine lakini hatumtengenezei mtu katiba ili apate fursa ya kugombea, why don't u think out of this box?......
Mbona umri wa vijana kugombea ubunge hauwazuii lakini kuna vijana kiasi gani wanaoleta angalau positive results katika ubunge wao? sijasahau ni juzi juzi tu hapa Lawrence Masha aliaminiwa na Rais kupewa wizara nyeti na nzito kwenye nchi na matokeo yake kila mtu anajuwa, halafu leo hii uje kwa mtu makini na gia za ujana sidhani kama atakuelewa labda Adam Malima ndio mtaelewana katika hoja hizi mufilisi.
Hivi ni kata ngapi ambapo CDM imesimamisha wagombea wake na maendeleo ya kampeni kwenye kata hizo yakoje kuelekea uchaguzi mdogo Jumapili? Viongozi wa CDM wanafanya nini kuwavutia wanaCCM ambao hawajafurahia chaguo la Siyoi kuwa mgombea ili wabadilishe kura zao na kumpigia Nassari?
Umejiingiza mwenyewe kwenye mkenge wa Mwanakijiji bila kujielewa, hapo mwakijiji maana yake ni kwamba Zitto ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine watu wanachohitaji kukisikia na kudiscuss kwa sasa ni hizi chaguzi na sio ulafi wake Zitto wa Madaraka. Got it!!??....Arumeru ndilo jimbo pekee kwenye uchaguzi wa ubunge, ila nasikitishwa na campaign za uko, zimeelekeza concetration kwenye kupigana vijembe zaidi ya kuzungumzia matatizo ya wananchi na ufumbuzi wake.
Udiwani naelewa CHADEMA wana wagombea vijibweni-Kigamboni DSM, Kiwira-Mbeya, Lizaboni-Songea, Tanga and Kirumba-Mwanza. Nafikiri kuna maeneo mengine pia lakini haya ndiyo ninayoyafahamu.