Zitto: Ndio ninautaka urais

Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
Hata kama Zitto Kabwe anataka u-Rais na ni candidate mzuri,sasa ni mapema mno kwa CHADEMA kuamua. Mwaka 2015 ni mbali. Vijana na watu wazima pamoja na wazee wapo, na wanaweza kuingia wanachama wapya. Hata wengine wako nje ya nchi wanaostahili kufikiriwa na chama makini kama Chadema.
What a glory hunter!? Nothing gonna stop his deluded quest for greatness!
 
kiukweli 2015 akibadilishwa mgombea wa u raisi kwa tiket ya chama..ile kasi ya chama itapungua na kitaonekana kina watu wenye tamaa ya madaraka..zitto anatumiwa kukiua chama chetu..


mpuuzi kabisa wewe.
nani amekwambia kuwa slaa ni mgombea wa kudumu wa chama?.
usituletee siasa zako uchwara hapa za kupenda chongo ukakimbilia kuita kengeza.
 
Mwita Maranya umeuliza maswali ya msingi kabisa sijui kama Mh. Zitto ameshayajibu hasa kwenye red.

ni nini hasa kinachokufanya upande presha kiasi hicho?.
kama una ubavu na wewe si uvute fomu ugombee kuliko kujidai ni mtumishi mzuri wa slaa?.
aliyekwambia slaa ni mgombea wa kudumu wa chadema ni nani wewe?.
 
Nimekupuuza pale uliposema uchaguzi wa Arumeru si kitu cha maana kwa CDM bali la maana ni kupigana vikumbo kugombea urais 2015.CDM is not cheap like this!

uchaguzi wa arumeru hyiyo ni inshu nyingine.
tunakusubiri utuletee matokeo yenye ushindi na sio story zako za kuchakachuliwa.
umeshakula miloni 19 za feasibility study na milioni 678 za kampeni sasa ole wako ujilete na ***** wako wa kuchakachuliwa. tutakuchapa bakora mpaka kwenu vunjo huko.
 
mbali na ishu (utata) wa timing ya tamko lake, lakini katika nyingi ya hizo sababu zitto alizotoa kuwa ndio msingi wa hoja yake ya kutaka urais yapo mapungufu makubwa sana, ambayo kwa urahisi tu yanaonesha huyu jamaa ni mbinafsi, mdanganyika, hatari na hajakomaa kisiasa wachilia mbali kufikiria taasisi nyeti kama urais.au ndio level tulofikia watz kwa vile kikwete kaidhalilisha taasisi hiyo basi kila mtu anaona anaweza kuwa rais?zitto is selfish, divisive, hypocrite and elusive in all matters he's propagate to stand for. Unfit for any good cause...me think.

zitto
gombea ndugu yangu urais una uwezo mkubwa sana na naamini utashinda tena kwa kishindo kikuu.
'achana na wasaga lami hao wao kwao kila jambo jema ni lazima lifanywe na mtu wa kaskazini.
You are a presidential material.
Go on usiwe mwoga mwoga kama slaa aliyesubiri kuombwa agombee.
 
nimegundua chadema wengi ni zidumu fikra za mwenyekiti. Anachoongea mbowe na slaa ndio sheria huu sio ukombozi wa kifikra.
 
January atakuwa na miaka 41, hata hivyo amesema hautaki uraisi. Hivi mkuu, kwani si ni hivi punde tutaanza kuandika katiba mpya? Katiba hawaandiki wabunge.
Kwani nani alitaka kumpa, hivi watanzania tumefikia kiasi cha kuona cheo cha urais ni cha mtu yeyote kutaka very poor, nafikiri hii imesababishwa na udhaifu wa Kikwete kwa hiyo kila mtu anaona anaweza kuwa rais. Eti nautaka urais my foot.
 
kabwe ni HAKI yako kabisa tena huyu mwandishi usiangaike naye we piga kazi ila tu punguza ka unafiki na kupenda utukufu,mi nakubali umesaidia sana siasa za vijana wa tz na umekua ukijitoa kwa pesa zako.tuacheni ushabiki 2muunge mkono.mi kwa hili nakuunga mkono siyo yale maujinga ulitaka kufanya eti kumtua kafulila upitie nccr.hapa poa
 
kwani nani alitaka kumpa, hivi watanzania tumefikia kiasi cha kuona cheo cha urais ni cha mtu yeyote kutaka very poor, nafikiri hii imesababishwa na udhaifu wa kikwete kwa hiyo kila mtu anaona anaweza kuwa rais. Eti nautaka urais my foot.
acha kuwa na mawazo ya kimajungu majungu wewe!.
Hivi unadhani wote hawapendwi kama wewe usivyopendwa kwenu vunjo?.namuunga mkono zitto tena namtakia kila la heri.
Ni bora kumtambua kwa muda mrefu kiongozi anayetaka kutuongoza kwa nia njema.
Mmezoea kubembeleza wagombea nyinyi ndio maana.
 
kabwe ni haki yako kabisa tena huyu mwandishi usiangaike naye we piga kazi ila tu punguza ka unafiki na kupenda utukufu,mi nakubali umesaidia sana siasa za vijana wa tz na umekua ukijitoa kwa pesa zako.tuacheni ushabiki 2muunge mkono.mi kwa hili nakuunga mkono siyo yale maujinga ulitaka kufanya eti kumtua kafulila upitie nccr.hapa poa


zitto ni rahisi sahihi kwa nchi sahihi na wakati sahihi.
Keep it up kamanda.
Wewe ni zaidi ya jembe.
 
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT
 
mkuu zito, kwa jinsi unavyooneka unautaka urais, na nikikumbuka maneno ya hayati baba wa taifa, mwalimu nyerere

akaongeza zaidi

my take:
Kimsingi kwa hili kaka umechemsha ama kwa kujua au kutojua unajikuta unaleta "bad atmosphere" chamani, kauli zako zimekaa kibaguzi baguzi, ingetosha kama ungetetea issue ya umri wa kugombea urais, hilo watu mbona tuko pamaoja nawe sana tu, ila unapokuja tena kusema unautaka urais,hii inapoteza hata msingi wa point yako kwa kufanya watu kuelewa kuwa unajipigia debe, na uki recall maneno ya julius hapo juu, ndo kabisaaaa, i think its better some times kabla hujafunguka ukajaribu ku consult wazee (sio wa magamba kama unavyofanyaga).
Biliv me, reputation yako mbele ya vijana inashuka kwa kasi ya ajabu, wengine wanadiriki kusema kuwa eti wewe ni mgonjwa so unataka chance ya urais ili upate muda mzuri wa kutumia rasilimali za taifa kujitibu... Take this.
nani aliyekwambia kuwa zitto analeta bad atmosphere kwenye chama chetu?.
Alichokifanya zitto ni sahihi sana kwa ustawi wa demokrasia ya dunia yetu ya sasa hivi.
Ule mtindo wa kwenda kumuomba mtu agombee urais sasa umeshapitwa na wakati na ndio maana slaa alikinyanyasa sana chama chake mpaka akakilazimisha kiwe kinamlipa milioni 7 kila mwezi. Kama wangekuwepo watu wa aina ya zitto kumi hii nchi isingekuwa hapa ilipo.
Zitto leo ameonyesha vile ambavyo viongozi wetu wa kipindi cha ukombozi walioonyesha dhahiri mipango na nia za kuzikomboa nchi zao.
Leo hii ukileta hoja ya kukipasua chama tutakuona ni mzembe na ni m,puuzi kwa kuwa ukweli ni kwamba vyama vyote hutoa fomu za kugombea urais na wabunge na zitto amesema wazi kuwa chama chake na wananchi kama vikiona anafaa kuwa mgombea wao kwake haitakuwa na shida yoyote.
Sasa haya mapovu yanayokutoka ni ya nini?.
 
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT

UNABADILISHA AJENDA BURE,
ccm WAMUOGOPE SLAA KWA KIPI HASA ALICHOKUWA NACHO?.
SLAA AMEKAA NA CCM BUNGENI TANGU MWAKA 1995 NA HAKUNA LOLOTE ALILOLIFANYA MPAKA ZITTO ALIVYOIBUKA MWAKA 2007 NDIPO NA YEYE AKAANZA KUJITUTUMUA.
AU UNADHANI CCM WANAMUOGOPA SLAA KWA KUIBA NA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU NCHI NZIMA?.
AU UNATAKA UTUAMINISHE KUWA SLAA NI MGOMBEA WA CHADEMA WA KUDUMU?.
SLAA HAKUUTAKA URAIS MWAKA 2010 BALI ALILAZIMISHWA NA CHAMA ILI CHAMA KISIKOSE MGOMBEA.
ZITTO HAJAVUNJA KATIBA WALA KANUNI YOYOTE YA CHADEMA WALA YA NCHI.
NAMPONGEZA SANA KWA KUWEKA WAZI DHAMIRA YAKE MAPEMA ILI TUMSAIDIE USHAURI KILA APITAPO KAMA RAIS WETU AJAYE.
GO ZITTO GO.
YES YOU DESERVE TO BE OUR NEXT PRESIDENT.
 
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT

Mkuu wangu umemaliza yote.Yeyote anayempinga jabali Slaa hapa jamvini ni kibaraka wa Magamba.Vibaraka wa Magamba walioko ndani ya CDM wamejipanga barabara kumtumikia bwana wao.Lakini jambo moja nashukuru wameanza chokochoko zao wakati chama kinajiandaa kufanya uchaguzi wake wa ndani.Ninaamini Mwenyekiti Mbowe ataongoza vema kamati za chama kufukuzilia mbali vibaraka hawa.
 
mkuu wangu umemaliza yote.yeyote anayempinga jabali slaa hapa jamvini ni kibaraka wa magamba.vibaraka wa magamba walioko ndani ya cdm wamejipanga barabara kumtumikia bwana wao.lakini jambo moja nashukuru wameanza chokochoko zao wakati chama kinajiandaa kufanya uchaguzi wake wa ndani.ninaamini mwenyekiti mbowe ataongoza vema kamati za chama kufukuzilia mbali vibaraka hawa.

total *****.
Slaa cant be our longer presidentia candidate.
Yeye anapaswa kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee la chama.
Uhuru duniani kote ulidaiwa na vijana. He is too late.
Alikuwa wapi siku zote na huo ujembe wake?.
 
Zitto napata mashaka na ww. Nimesoma vizuri makala yako. Inaonekana humthamini dk slaa. Naanza kupata mashaka khsu mashambulizi yanayowekwa humu jf kila kukicha khsu dk slaa. Huenda ni ww ndo unawatuma akina Tuntemeke. Unataka watu wamchukie sana slaa ili ww uibuke. Kwahili la kumfanyia offside slaa siungi mkono hoja yako.
 
zitto napata mashaka na ww. Nimesoma vizuri makala yako. Inaonekana humthamini dk slaa. Naanza kupata mashaka khsu mashambulizi yanayowekwa humu jf kila kukicha khsu dk slaa. Huenda ni ww ndo unawatuma akina tuntemeke. Unataka watu wamchukie sana slaa ili ww uibuke. Kwahili la kumfanyia offside slaa siungi mkono hoja yako.

yaani ulitaka amthamini vipi padri slaa?.
Kwani slaa kapitishwa na chama gani kuwa mgombea wa urais chadema?.
 
Huyu bwana amezaliwa September 1976 - ina maana atakuwa na miaka 39 hapo 2015, sasa atagombeaje Urais hata kama anautaka? Katiba inataka mgombea urais awe na miaka 40! Ajitahidi katiba ibadilishwe hicho kipengele......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom