Jaffary
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 808
- 386
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
utakufa kwa dhambi ya udini ww!
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
Naitamani hii iingizwe kwenye katiba mpya ili iwekwe wazi kabisa kwamba post ya urais ni ya kubadilishana kati ya waislam na wakristo at the same time kwa mawaziri wakuu.
that means
rais akiwa muislam na waziri mkuu awe mkristo kama ilivyo sasa, pia raisi akiwa mkristo waziri mkuu awe muislam. hapo itakuwa mswano. ama kwa katiba ya sasa hilo haliko ivo ivo Zitto ana haki ya kuonesha dream zake wala hupaswi kupoteza muda katika hili
Ben ameshanyea kambi anachofanya ni kutapatapa aonekane amekufa kishujaa.Narudia tena Ben Saanane hawezi kupita kwenye vetting yoyote makini ili awe Itelligence securty officer, sana sana tu anaweza akawa ni sehemu vya mainformer wadogo wadogo tu kupitia Zitto Kabwe through Jack Nzoka.
Kweli Zitto kiboko. Anawanyima watu usingizi. Zitto ana haki ya kutoa maoni yake kama wengine.
You talk too much kama kasuku, be short and precise unafikiri kuongea sana ndio utafuta uchafu wako.
Kazi ni kulia lia tu na kujitetea muda mwingi unautumia kujibu maovu yako wala hujengi point yeyote ya kuimarisha chama.
Nikikuita majina mabaya itakuaje? Halafu unajiita mstaarabu na kujifanya unanishauri? loh....kama hukubaliani na hoja za mtu hakuna haja ya kuwa too emotional .Never.......now i know him enough, nilidhani mlikuwa mnamuonea kumbe this is virus inside CHADEMA.
Kwa wiki kama mbili hivi kumekuwa na mabandiko humu JF yanayoashiria kana kwamba huko CDM kuna Gogoro. Haya mabandiko yamekuwa yakipingwa na wengine kuja na tafiti kuyapinga. Nakumbuka alianza Tuntemeke wakafuatia akina PAA na TII kisha akaja Mwanahalis. Niliona kama watu wa CDM wa ndani kabisa wakiwa wanapingana. Mfano Dr. Mkumbuko alipingana na Rev. K ambaye alisema ana habari za ndani. Katika moja ya post zake, Tuntemeke alisema kwamba wananyimwa kuila keki ambayo wameipika! Sikumuelewa. Kisha ukaja uzi ambayo ulisema kwamba wakati Dr. Mkumbo yuko London alisema ya kwamba ndani ya CDM kuna makundi ya Urais ambayo yanangozwa na Zitto, Mbowe na Dr. Slaa. Aliyeleta uzi akashambuliwa kwa kila aina ya matusi na kejeri. Dr. Mkumbo hakukanusha hili. Amekuja Zitto anasema wazi wazi kwamba anautaka Urais na ameenda mbali zaidi na kuonyesha jinsi alivyojitolea kukijenga chama wakati huo wengine wakiwa wanapumzika na wengine wakiogopa kuingia chamani (amepika keki kwa nini asiile?). Baada ya Zitto kujitokeza na makundi ndani ya washabiki/wana CDM yamejitokeza hadharani ili kutimiza lile neno lililonenwa na mtu mmoja akisema alimsikia Dr. Mkumbo akisema kuna makundi ya Urais huko CDM.
Kwa hakika ni dhahiri shahiri sasa kwamba kuna Gogoro huko CDM na bundi ametua mtaa wa Togo. Gogoro linatakiwa lishughulikiwe. Naanza kuhisi watu/wanachama wakitolewa kafara ili kulinda himaya. Tusubiri tu tumelizane na Meru.
Simameni imara dhidi ya hawa waovu, sisi ambao siyo wanachama tutawapasapoti inayostahili, sasa ndio nimeelewa ni nini maana ya Masalio ya Zitto yapukutishwa CHADEMA!!!..... ila kumbukeni mnapotaka kumuuwa nyoka akikisha kichwa umekitenganisha na kiwilikwili.Ben ameshanyea kambi anachofanya ni kutapatapa aonekane amekufa kishujaa.
Kwa hiyo kwa wakati ule Zitto alikuwa sahihi kusema kwamba mwaka 2015 atagombea urais lakini sasa hayuko sahihi?Dr Slaa he was seek for one term Presidencial......Je una lingine?
Hili halinitishi.....!
Mkuu,
Ndiyomaana nasema hapa tuwe fair. Hivi Zitto akikuambia alitambulishwa kwa Rosatam Aziz na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe utasemaje?mawazo yako yatakuwa haya haya au yatabadilika?
Haya hapa ni maneno ya Zitto
"Rostam Aziz alikuwa mbunge mwenzangu na nimeshasema hapa nimekuwa nikiwasialiana naye sana Kama Mbunge na Kujadiliana naye mambo mengi tu. Hajawahi kunihonga. Hajawahi Kujadiliana na mimi lolote kuhusu chama changu wala chama chake. Rostam Aziz nimetambukishwa kwake kupitia Mwenyekiti wangu wa chama ndugu Mbowe. Urafiki wangu naye imetoka kwa Mbowe maana sikumjua kabla.
Haya majungu haya yameshachacha. Kubenea kayasema wee lakini wananchi bado wana imani kubwa sana na mimi. Tafuteni majungu Mapya."
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...akutana-na-keneth-kaunda-lusaka-zambia-3.html
Mtu aliyeshindwa uchaguzi na akabaki madarakani kwa nguvu bado unasema swala la katiba hapo? kuna katiba inayoruhusu kung'ang'ania madaraka?
Swala la urais sio la mzee wala kijana ni mtu mwenye uwezo tu na si vinginevyo ikulu hakuna mashindano ya kutafuta marijali ndio mtueleze habari za ujana.
Afadhali ume declare interest, kama unawapenda sana rafiki zako kina Ben washauri waende ground level waonekane na si kushinda JF wakijibizana na members, halafu the next day wanataka washindane na kina Heche wanaonyeshewa mvua Arumeru mashariki kukiimarisha chama, hiyo haikubaliki. Muulize Ben leo amekifanyia nini chama maana toka asubuhi yuko JF.
Mimi si mwana CDM lakini sioni hoja yenu iko wapi zaidi ya kuishia the same old story "uroho wa madaraka"
Nelsweeter,
Acha uvivu wa kufikiri,usikurupuke kujibu mambo ambayo hujui msingi wake. Unaposema ni zamu ya Wakristo,una-refer katiba ya nchi gani au chama gani,CCM,CDM,CUF..??Kwamba kama zamu hii katawala Muislam basi next time atawale mkristo?..BTW,unajua maana ya Mujahidina au unaropoka tu! Jibu hoja na sio kum-attack Zitto!
Ben sitaki maneno meengi, tuambie leo tangu asubuhi umekifanyia nini chama, maana nakuona uko JF toka usiku wa manane.Thibitisha huo uchafu najua huwezi! Unakerwa hutaki niandike ili mpate nafasi ya kupotosha na kufurahisha watu. Hapo uliponi-quote nilikuwa najibu watu.wewe hutaki sasa tukusaidieje?
Ur total talking nonsense, unataka ujibiwe vipi!!..........Kwa hiyo kwa wakati ule Zitto alikuwa sahihi kusema kwamba mwaka 2015 atagombea urais lakini sasa hayuko sahihi?
Kwa akili zako ukwaju no wonder hata Mwai Kibaki alishinda uchaguzi!!......Alishindwa wapi mkuu? Mimi najua ameshinda uchaguzi wa hivi karibuni na kutangazwa kama mshindi. Usitake niingie kwenye malumbano kwamba mwaka 2010 Dr. Slaaa alishinda lakini akachakachuliwa.
Mbunge mahiri na machachari kutoka chama makini Zitto Zuberi Kabwe ameweka wazi kuwa anautaka uraisi lakini akiwa atapata ridhaa kutoka kwa chama chake na wananchi kwa ujumla wao,
CHANZO: UDADISI: Rethinking in Action: ZITTO: "NDIO NATAKA KUWA RAIS"
Ben ameshanyea kambi anachofanya ni kutapatapa aonekane amekufa kishujaa.
Mkuu tuko imara sana, hicho kichwa kitapondwa tu si unajua ukitaka kumuua nyoka usishike mkia na kumchinja kobe inahitaji timing. Hawa wengine kina Ben ni nguvu ya komputa tu hana hata tawi analoliongoza wakisaidiwa na majeshi ya kukodi kina Kimbunga, paulss & co. wanaodai eti wao hawana rangi.Simameni imara dhidi ya hawa waovu, sisi ambao siyo wanachama tutawapasapoti inayostahili, sasa ndio nimeelewa ni nini maana ya Masalio ya Zitto yapukutishwa CHADEMA!!!..... ila kumbukeni mnapotaka kumuuwa nyoka akikisha kichwa umekitenganisha na kiwilikwili.