Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
ukiwa mkweli wa nafsi yako ndiyo unafiki?? au kuchukia ,wivu na kupinga chochcote ndiyo siyo unafiki??
Umeelewa vizuri hilo andiko?
ukiwa mkweli wa nafsi yako ndiyo unafiki?? au kuchukia ,wivu na kupinga chochcote ndiyo siyo unafiki??
Ben ameshanyea kambi anachofanya ni kutapatapa aonekane amekufa kishujaa.
Afadhali ume declare interest, kama unawapenda sana rafiki zako kina Ben washauri waende ground level waonekane na si kushinda JF wakijibizana na members, halafu the next day wanataka washindane na kina Heche wanaonyeshewa mvua Arumeru mashariki kukiimarisha chama, hiyo haikubaliki. Muulize Ben leo amekifanyia nini chama maana toka asubuhi yuko JF.
Unataka niwajibike kwa nani? Wewe ulipokuwa unaniona ulikuwa wapi?Nikuambie nimefanya nini?wewe ni nani? wewe na nani hasa?Ben sitaki maneno meengi, tuambie leo tangu asubuhi umekifanyia nini chama, maana nakuona uko JF toka usiku wa manane.
Huyu jamaa nilishawaambia ni mbishi aliyepitiliza.Ila ana roho ngumu sana hana tofauti na Gaddafi au Mugabe.misimamo yake mikali ni tatizo.Yaani pamoja na mashambulizi yote yeye anakomaa hadi muda huu.huu ujasiri wake huu angeutumia kupambana na CCM kwa kuisadia bavicha chadema ingefika mbali.Ben fanya kazi na heche muisaidie bavicha!
kaka jibu basi una undugu na Nyerere baba wa taifa?
Achana na wanafki, hivi inawezekana vipi jitu linashinda jukwaa la siasa siku zote halafu akwambiye hana chama anachokiunga mkono!!.....huu ni utoto, na kuna mwingine anaitwa Mohamed Shossi tangu CUF ife eti naye anajifanya hana chama wanafki wakubwa hawa!!Mkuu tuko imara sana, hicho kichwa kitapondwa tu si unajua ukitaka kumuua nyoka usishike mkia na kumchinja kobe inahitaji timing. Hawa wengine kina Ben ni nguvu ya komputa tu hana hata tawi analoliongoza wakisaidiwa na majeshi ya kukodi kina Kimbunga, paulss & co. wanaodai eti wao hawana rangi.
Mkuu, Zitto hafai kuwa Rais wa nchi hii labda awe Rais wa Miss Tanzania na TFF,......ni sawa asivyofaa yule mtoto wa malecela kuwa Mbunge wa East Africa, yule labda awe meneja wa Ngwasuma tu.
Wakristo tupo wengi pia,nadhani sasa ni wakati wa wapentekoste/sabato/lutheri/Anglikana maana wakatoliki mwalimu nyerere na Mkapa wanawatosha au unasemaje Nelsweeter?(Hili alikwisha lionya mwalimu kuwa dhambi ya ubaguzi haiishii kwa uislamu na ukristo tu bali itaendelea mpaka mtaanza kubaguana kwa vimo vyenu!!Sijui kwanini watanzania tuna mawazo mgando namna hii Aaaaghh!!)
Usidanganye watu eti una likizo fupi kwani unacheo gani ndani ya chama au Bavicha, utaendelea kuota hivyo hivyo, you are useless in CDM.Ndiyo nina likizo fupi naitumia ipasavyo.Kwani unadhani ni lazima wote tuende Arumeru?Are we that desparate?
siku hizi uraisi unaangalia dini na ukabila au?Zamu ya Wachaga, Wasukuma, Wanyakyusa au Wahaya.
Hizi sifa ulizozitaja zote rais wako wa sasa hivi anazo...?
Haya mkuu wewe mwenye akili za ubuyu. Mimi huwa sijiingizi kwenye masuala ambayo yalishatolewa maamuzi na kisha kukubaliwa.Kwa akili zako ukwaju no wonder hata Mwai Kibaki alishinda uchaguzi!!......
Kama ulikuwa una jibu basi ungejibu tu kuliko kutukana.Ur total talking nonsense, unataka ujibiwe vipi!!..........
Usidanganye watu eti una likizo fupi kwani unacheo gani ndani ya chama au Bavicha, utaendelea kuota hivyo hivyo, you are useless in CDM.
- Ha! ha! ha! ha!, anyways mimi sipo kwenye hoja za majina kwa sababu hazina tija kwa taifa, ninachojadili ni policy ya Vijana ambayo hapa kwa upinzani wenu kwa Zitto mnaiua bila kujua, kwamba wewe unafaa au hufai ni absolutely waste of time, mnafikiri mnamuua Zitto kumbe mnaua dhana ya Vijana wote kuwa viongozi it stinks!
The ishu ni Vijana sio Zitto jamani!, otherwise kuhusu hukumu zako ni thanks God kwamba wewe sio uamuzi wa mwisho wa nani awe na nani asiwe, kwa mwalimu wa kama wewe ni sad sana kujiiingiza na ideas za kuhukumu watu usiowajua!
Es!
Kwani Zitto amesigina katiba?
\Ebu angalia vijana wenyewe ndio kama huyu nitaendelea kupinga hii dhana ya ujana, huyu ni akili ukwaju.
HKigwangalla![]()
Yesterday 21:23
#1![]()
Verified User Array
Join Date : 6th February 2008
Location : Dar es salaam, Tanzania
Posts : 233
Rep Power : 562
Likes Received196Likes Given42
Benki Kuu Imefanikiwa Kushusha Inflation Rate Lakini Imetuacha na Maswali Mengi!![]()
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupongezwa kwa jitihada za mara moja walizofanya kushusha mfumuko wa bei nchini, na pia kupandisha thamani ya shilingi ya Kitanzania. Katika miezi mitatu iliyopita mfumuko wa bei za vyakula umeteremka kutoka 27.8% mpaka 26.7% na inflation kwa ujumla (general inflation rate) imeshuka kutoka 19.8% mpaka 19.4%. Pia thamani ya shilingi ya Kitanzania imepanda. Kiwango cha kubadilisha dola 1 ya kimarekani kwa shilingi ya kitanzania ilikuwa 1900, leo hii ni 1598. Hongera Gavana Benno Ndulu kwa kazi nzuri. japokuwa nadhani huu ni mpango wa muda mfupi na tusiutegemee sana kama Taifa kuwa utadumu. Lengo likiwa kushusha mfumuko wa bei mpaka tarakimu moja kufikia June (ahadi ya BoT), kwa vyovyote vile inabidi muumize kichwa zaidi, na zaidi ya yote tuweke mipango ya muda mrefu ya kuimarisha uchumi wetu na hususani kupunguza imports. Je watafanikiwa, sijui, lakini ni matarajio na matamanio yetu kuwa watafika; tunawaombea dua. Wenzangu na mie wanashindwa kukuelewa ukiwapa hizi tarakimu, wao wanataka waone tu bei ya dagaa, maharage na sembe imeshuka maana wengi wao hata sukari haiwahusu sana. Je, tunaweza kukiri kuwa tumeshindwa kuzalisha misosi kiasi cha kutosha kushusha bei za chakula nchini? Ama tumeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kusambaza chakula nchini kiasi kwamba watu wa nyanda za juu kusini wanakosa pa kuweka chakula ilhali Nzega wanakufa na njaa?
Wewe utaona wapi tatizo hapo wakati ni mpiga zumari wa Zitto Kabwe? kwa akili zako ni kweli Inflation imepunguwa?\
hapo kibaya nini?au il mradi upinge tu
Ha ha haaaa eti nimetumwa na Slaa kanda ya ziwa mara niko likizo galasa....ulidhani usaliti huwa unalipa hayo ndiyo matunda yake mtakuwa mnaishia reception makao makuu.Angalia hizi fikra...Loh!
Kwako wewe unadhani mtu kuwa likizo ni lazima iwe ya kisiasa.Maskini hujui kama kuna maisha nje ya siasa.Ndiyo maana niliwashauri mtafute kazi za kufanya acheni kujipendekeza na kutumiwa hovyo huku mkitumia ID fake! Majungu hayatawasaidia kimaisha.Mtaishia kuhama vyama tu kila siku na umri umeshapita.
Halafu ukishindwa kuleta hoja usitukane,usitegemee mimi naogopa hayo maneno.
nimegundua chadema wengi ni zidumu fikra za mwenyekiti. Anachoongea mbowe na slaa ndio sheria huu sio ukombozi wa kifikra.
- Ha! ha! ha! ha!, anyways mimi sipo kwenye hoja za majina kwa sababu hazina tija kwa taifa, ninachojadili ni policy ya Vijana ambayo hapa kwa upinzani wenu kwa Zitto mnaiua bila kujua, kwamba wewe unafaa au hufai ni absolutely waste of time, mnafikiri mnamuua Zitto kumbe mnaua dhana ya Vijana wote kuwa viongozi it stinks!
The ishu ni Vijana sio Zitto jamani!, otherwise kuhusu hukumu zako ni thanks God kwamba wewe sio uamuzi wa mwisho wa nani awe na nani asiwe, kwa mwalimu wa kama wewe ni sad sana kujiiingiza na ideas za kuhukumu watu usiowajua!
Es!
Aisee kwa kweli sijajuwa ni kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kwa jambo ambalo liko wazi, hapa hoja sio umri wa mgombea Urais bali hoja ni nani mwenye sifa za kuwa Rais bila kujali umri wake, ndio maana tunasema ikulu hakuna mashindano ya urijali kusema wanaitajika vijana tu.Akina Mzee Salim Ahmed Salim,Mzee Samwel Malecela,Jaji warioba na wengineo walibeba majukumu mazito ya kitaaifa wakiwa vijana.Mwalimu J.K Nyerere alikuwa kijana aliyebeaba wajibu mkubwa akiwa below 40.Hawa wanaopinga kutanua wigo wa kidemokrasia so far hawajajenga hoja za kushawishi hili.Ninachoshauri huu mjadala inabidi uwe mjadala wa kitaifa.Tuache kuangalia kwa scope ya vyama,dini au makabila.
Wacha nitoke kidogo !