Ila watu wa kigoma sijui wakoje umaarufu kidogo tu wanataka kuongoza watu.kumbe ndomaana toka tupate uhuru hatujawai kuwa na mkuu wa majeshi kutoka kigoma watawala wanaogopa wasije pingunduliwa na this peoples.
Haya ndio zitto alikuwa akiyataka kwa kuhamisha macho na mawazo ye2 toka Arumeru kuzungumzia urais wa 2015.
Well said mkuu- Ninaamini ni haki ya Zitto kikatiba kugombea anything, msiomataka Zitto mnapwaya sana kwenye hoja wengi wenu mnajikita kwenye kujali chama kuliko Taifa
Ni wiki moja sasa baada ya Zitto kabwe kutangaza kwamba atangombea urais uchaguzi ujao endapo atapitishwa na chama chake kumekuwa na hoja kwamba Zitto anafaa kugombea wengine wakipinga vikali na kudai Dr slaa bado anastahiri kugombea urais kwa mwaka 2015, sasa basi we unaonaje?
Kwa upande wangu napendekeza Dr slaa angombee ndiye agombee uchanguzi ujao ili tu aweze kubadilisha mfumo mzima wa nchi kwa miaka mitano tu na baada ya hapo ndipo Zitto aombe ridhaa kwa chama. Kwani watu wengi bado wanaimani sana na Dr Slaa kuliko hata Zitto.
Nawasilisha
Hehehee haya bwana!jibu swali ,inawezekana wewe ni mkenya umetumwa tutajuaje
Marehemu sio hakufanya kabisa kampeni lakini alishinda...........Hapa unajaribu kuuliza nini!?......hueleweki hivi mwanasiasa kama hukubaliki na huna hoja ulizojenga ni kwa nini uchaguliwe wewe unategemea utapigiwaje kura? labda members wengine watakuelewa mimi nimeshindwa kukuelewa.
Mkuu mi naomba nikusaidie kwa kuunga mkono hoja yako, Korea hawana democrasia yule Dogo pale karithi tu kutoka kwa baba yake kwani umesikia kulikua na uchaguzi wowte.
Lete hoja zenye kwenda na wakati. Tuna mambo mengi ya kufanya sasa kabla ya kuuuliza rais 2015 ni nani. Tuchangie katiba mpya wakati ukifika. Tutoe nafasi kwa wagombea binafsi tupanue wigo. Mjadala huu umeminywa na katiba ya sasa ya mgombea lazima atoke kwenye chama. Wapo wengi wanaoweza kugombea urais na wakawa wazuri bila chama
Ni wiki moja sasa baada ya Zitto kabwe kutangaza kwamba atangombea urais uchaguzi ujao endapo atapitishwa na chama chake kumekuwa na hoja kwamba Zitto anafaa kugombea wengine wakipinga vikali na kudai Dr slaa bado anastahiri kugombea urais kwa mwaka 2015, sasa basi we unaonaje?
Kwa upande wangu napendekeza Dr slaa angombee ndiye agombee uchanguzi ujao ili tu aweze kubadilisha mfumo mzima wa nchi kwa miaka mitano tu na baada ya hapo ndipo Zitto aombe ridhaa kwa chama. Kwani watu wengi bado wanaimani sana na Dr Slaa kuliko hata Zitto.
Nawasilisha
Ni wiki moja sasa baada ya Zitto kabwe kutangaza kwamba atangombea urais uchaguzi ujao endapo atapitishwa na chama chake kumekuwa na hoja kwamba Zitto anafaa kugombea wengine wakipinga vikali na kudai Dr slaa bado anastahiri kugombea urais kwa mwaka 2015, sasa basi we unaonaje?
Kwa upande wangu napendekeza Dr slaa angombee ndiye agombee uchanguzi ujao ili tu aweze kubadilisha mfumo mzima wa nchi kwa miaka mitano tu na baada ya hapo ndipo Zitto aombe ridhaa kwa chama. Kwani watu wengi bado wanaimani sana na Dr Slaa kuliko hata Zitto.
Nawasilisha
Mjadala wa mgombea anayefaa lazima uanzie humu JF. Tatizo ni kwamba wanachadema badala ya kutafuta mchawi ndani ya chama tunakimbilia CCM wakati na wao wana misalaba yao. Tusipokubali tukaanza kujadili nani agombee kupitia CDMA kuanzia sasa, hakika mwisho wake ni CHAMA kusambaratika. Dalili za mvua ni mawingu, Chama kinakosa mvuto kutokana na watu kung'ang'ania madarakani kama kupe. Angalia yanayokikuta CUF kila kukicha SHARIFF , LIPUMBA kwani hakuna wengine? MBOWE na SLAA nao kuna haja wakae pembeni waachie ZITTO, MNYIKA, MDEE na weingine wengihoja hazina msingi, wakati ukifika chama kitaamua mbinu gani kitumie kumpata mgombea, chadema sio ccm jamani!
Ni wiki moja sasa baada ya Zitto kabwe kutangaza kwamba atangombea urais uchaguzi ujao endapo atapitishwa na chama chake kumekuwa na hoja kwamba Zitto anafaa kugombea wengine wakipinga vikali na kudai Dr slaa bado anastahiri kugombea urais kwa mwaka 2015, sasa basi we unaonaje?
Kwa upande wangu napendekeza Dr slaa angombee ndiye agombee uchanguzi ujao ili tu aweze kubadilisha mfumo mzima wa nchi kwa miaka mitano tu na baada ya hapo ndipo Zitto aombe ridhaa kwa chama. Kwani watu wengi bado wanaimani sana na Dr Slaa kuliko hata Zitto.
Nawasilisha
Kikwete na Lowasa nani anafaa kuwa mwenyekiti wa CCM? nadhani hapa ndipo tunapopaswa kuanzia maana CCM ndio ina uchaguzi wa ndani mwaka huu.
Haya ndio zitto alikuwa akiyataka kwa kuhamisha macho na mawazo ye2 toka Arumeru kuzungumzia urais wa 2015.
Unajuwa kuna unafki mwingine mimi huwa sielewi unatokea wapi au mmejifunzia chuo gani kuwa wanafki, naomba hapa mnijibu kuanzia wewe na huyo @New York, ni lini nafasi ya uenyekiti wa CCM ngazi ya Taifa fomu za kugombea zilichukuliwa na zaidi ya mgombea mmoja? je hivi wakati Mohamed Gharib Bilal anataka kugombea Urais wa Zanziba dhidi ya Karume ni demokrasia gani waliyoitumia CCM?Well said mkuu
Kiukweli CDM kwenye swala la demokrasia ya kuchaguliwa bado ni tatizo, viongozi wa CDM wamewaamini sha wapenzi wao kuwa kuna baadhi ya watu tu ndio wanauwezo wa kufanya jambo fulani, na kwa bahati mbaya wapenzi wao nao wamemeza nzima nzima dhana hiyo, huwaelezi kitu
Kimsingi alichofanya Zitto ni haki yake ya kikatiba kabisa, na wala hajalazimisha mtu kumuunga mkono, na wala hajasema ni lazima yeye ateuliwe sasa hapo ajabu ni nini
Acheni mambo yaende katika flow yake, mwisho wa siku si watachukua form kwa kila anayetaka na mchakato utafanyika na hapa sasa chama kitapima kwa taratibu zake za kikatiba kupata candidate wa uraisi kwa CDM