panadol
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 349
- 44
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT
Acha unafiki usiokuwa na ukweli kama unaushahidi Mh Zitto anatumika na CCM tumwagie kuliko kuweka majungu isitoshe nae ni mtanzania anayo haki ya kugombea endapo atakuwa anavyo vigezo,wewe hutaki agombee kwa kuwa wewe ni mfuasi wa Mbowe umakundi ndani ya chama unasumbua kweli kweli kama hipo hipo tu hakuna wa kubana ndoto za Mh Zitto mungu kama kapanga hakuna wa kuzuia!