Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

Tena wafadhili baada ya kuuliza matumizi ya pesa zao wameitwa “hooligans who sit in a Eurpean Parliament “.
Hakuna mtu aliyeenda kuomba pesa ziletwe ila zililetwa na mashirika ya UN. Na pesa hizo zilikuwa za kupambana na athari za Corona siyo kutibu Corona kwa sababu Corona haina tiba. Nenda uwaambie mabwana zako ujumbe huu
 
Kama mngekua wanaume kweli mngezirudisha kwakua mlikua na mbinu yenu ya kupambana na corona.
 
Ingawa ni haki ya kikatiba kuandamana kwa amani, lakini kwa namna Jeshi la Polisi la Sisiem lilivyopiga mkwara, inawezekana kweli watanzania wajitokeze kuandamana?

Unajua kuwa hii serikali ya awamu ya 5 haijali kuwa damu za watanzania wangapi zingemwagika, ili mradi tu watekeleze azma yao ya kututawala kwa nguvu milele na milele!
Vijana walio anza kuandamana Zanzibar na Pemba wote sasa ni marehemu.
 
Nyumbu msijitoe ufahamu hii fedha ilitolewa na ilivuma kwamba Tanzania imepata fedha ya kupambana na corona na sio mkopo kama ilivyopewa Kenya. Jibu ni rahisi tu zimetumika katika utafiti wa kupambana na corona.
Usitutengenezee majibu ya hovyo. Pumba.avu kabisa!
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Kwenye suara la kabudi nadhani mnakosea kuwaamini wahuni hao, kama wangeataka kujua pesa zimetumikaje wangekuja kuuliza sehemu walikopeleka hizo pesa,
Sasa huko wanaulizana wenyewe wakati waliyempa hayupo pale, pia hawajazifanyia ukaguzi.
Huo ni ujinga zaidi.
Unampa mtu pesa kabla hujamuuliza katumiaje unaanza kulalamika bila kumuuliza wala kumkagua, mimi nilidhani wangekuja kutaka majibu baada ya kuona pesa hazipo na wamefanya ukaguzi bila kupata majibu.
Kuanza kuhoji matumizi bila ukaguzi ni ujinga.
Na ukitaka kujua hao ni wahuni na tabia zao ni kama za akina mbowe, wakati kamati zinapitisha tanzania kupewa hizo pesa wao walikuwa wapi na wakashindwa kuhoji kabla hazijatolewa, waje kuuliza zilitolewaje wakati walitakiwa kuzijadili?
Ndio maana kabudi kawaita wahuni kwa kuwa wanatumika na shoga Amsterdam.
 
Sasa wataendelea kuongea hivi kila siku..wakija kushtuka bado mwezi mmoja uchaguzi mkuu..ndio wanaanza kukimbizana tena..

Baada ya uchaguzi si walishatoa tamko ufipa na kuelezea kila kitu??sasa wanatoa nini tena?
 
Wanazungumza kama akina nani?!
Kama watanzania wa nchi inayoburuzwa kuelekea kwenye udikteta na dimbwi la damu. Watatoa kauli kupinga ule utumbo wa "macho kumchuzi" aliyeulizwa uwajibikaji wa euro 27m anajibu kishamba "sisi ni nchi huru-- hatujawahi kushindwa vita" UDsm chukueni shahada zenu hapo kwa mgogo akaombe ombe majalalani
 
Kwenye suara la kabudi nadhani mnakosea kuwaamini wahuni hao, kama wangeataka kujua pesa zimetumikaje wangekuja kuuliza sehemu walikopeleka hizo pesa,
Sasa huko wanaulizana wenyewe wakati waliyempa hayupo pale, pia hawajazifanyia ukaguzi.
Huo ni ujinga zaidi.
Unampa mtu pesa kabla hujamuuliza katumiaje unaanza kulalamika bila kumuuliza wala kumkagua, mimi nilidhani wangekuja kutaka majibu baada ya kuona pesa hazipo na wamefanya ukaguzi bila kupata majibu.
Kuanza kuhoji matumizi bila ukaguzi ni ujinga.
Na ukitaka kujua hao ni wahuni na tabia zao ni kama za akina mbowe, wakati kamati zinapitisha tanzania kupewa hizo pesa wao walikuwa wapi na wakashindwa kuhoji kabla hazijatolewa, waje kuuliza zilitolewaje wakati walitakiwa kuzijadili?
Ndio maana kabudi kawaita wahuni kwa kuwa wanatumika na shoga Amsterdam.
wewe hujui kitu, hujui kitu.... soma "pleadings" na "evidence" vizuri ndio ujibu.... Nikusaidie kiduchu: Issue ni kuwa unasema hakuna corona nchini kwangu, imesha kwa maombi......, sasa kigezo gani kilitumka kumpa hela? anzia hapo
 
Wakati wa corona pesa ilitumiaka ya sehemu zingine hivyo hiyo ilirudi kwenye yele mahitaji.
Kwa sababu yalisimama kwa pesa kupelekwa kwenye corona
 
Kuandamana ni njia moja, ila njia ziko nyingi. Wananchi bado ni waoga kwa njia hiyo, ila huko tutafika tu. Hata Nyerere hakupata uhuru wa nchi hii kwa vita bali alitumia njia mbadala.
Nhhhhhhh! Enhee mmejipanga kwa lipi tena.
 
Back
Top Bottom