Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Cc : mgambilwa ni ntu
ni kweli mkuu..jitathmini
This is JF (in Manara's voice)Nimecheka sana!
Atakuwa alikimbia umande!Hahahahaaaaaaaaa,kweli mmebanwa mbavu!
Rudi shule,hujachelewa!
Tunamtaka MOBinadamu hawezi fananishwa na kuku
Pumba kwa muktadha wako ni madini kwa wengineJitathmini wewe na pumba zako.
Kuna kijana fulani alituambia kuwa tusiwe na hofu msanii hatapatikana jumapili, sisi tukamsikiliza na kweli msanii hakapatikana.Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.
Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.
Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Yaani jamaa anapenda kujitia ujinga,hajui hata kazi ya fasihi!Atakuwa alikimbia umande!
Sa kwa hoja gani uliotoa hapo mkuu!?Hoja hujibiwa kwa hoja
Maneno mazito sana haya kutoka kwa Zitto
Jina linsadifu akili yakoBinadamu hawezi fananishwa na kuku