Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Mbona siku ile alijibanza kwenye ukumbi wa bunge hadi Ndugai alipompa lift.......mbona hatukuliona hilo bwawa!
Nakumbuka kuna siku polisi walikuwa wanamsubiri ashuke jukwaani wamkamate,baadae hawakumuona!Ilibidi wamwambie tu areport kituoni!
 
Wasiojulikana!
_20181008_094042.JPG
 
Kwa kweli kila kitu kinaangukia huko aisee its not simple as that ku pull a job like that in areas like those.
 
Hizo drama zote za kitoto mwisho 2020, baada ya hapo akaombe kazi kwa Maria Sarungi au Mangi Kimambi!
 
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.

Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?

AKIONGEA AUKU POST ZITO INAKUA MWANA HARAKATI,AKIONGEA BASHIRU UHADI AU MA-MEN IRVIN SLOW INAKUWA SIASA SAFI...KWAHILI NAANZAKUAMINIKUWA MISHAHARA HAITA BADILIKA NA 1.5T INAKUWA.....
 
Back
Top Bottom