PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,695
- 25,976
Katika hali ya ukame nikisikia bwawa nadindisha ila katika hali ya kawaida nikisikia bwawa stimu zinakata
Katika hali ya ukame nikisikia bwawa nadindisha ila katika hali ya kawaida nikisikia bwawa stimu zinakata
Musiba aliomba msamaha ahaa mkuu Dunia, Musiba amekomaa hatariZitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Ukweli wa jambo anaujua.je anaweza kuujuma umma??Zitto kuna kitu anachokifahamu
Zitto mzinguaji sana....ni mkwara tu wala hana lolote istoshe dola ishamzimishaZitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
WasiojulikanaHahahaaaaaa imetekwa au![]()
Sasa anaishije kahKuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!
Wee utakuwa umevurugwa,Jitafakari wewe!
au ni mgeni jukwaani? Member wa JF hawezi kupaniki kijinga kiasi hicho, pole sana...Binadamu haishi kwa mkate tu!Sasa anaishije kah
Alikuwa ana mu recharge kivipi mkuu?Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
Hahahaaaaa,unajua maana ya kupanic au inasikia tu?Wee utakuwa umevurugwa,![]()
au ni mgeni jukwaani? Member wa JF hawezi kupaniki kijinga kiasi hicho, pole sana...
Huyo Zitto akiamuliwa serious mbona wana mdaka tu kiulaini
So mikwala muulizeni MUZIHILI MUZIHILIHahahaa...... Zitto kwa mikwara ya matumizi ya mitishamba hajambo!!
Wengi washapata mifano mkuu bado nasubiri moto wake MUSIBA , Wapi Mchinga Sound Wapi Mudhihir Mudhir? Dawa ya watu wasiojulikana ni kuwaangamiza kijadi tu believe me inafanya kazi vizuri,kama hauna kosa wameteka ndugu yako wewe ni kuwaendea kwa wataalumu tu na kuwaangamiza hakuna namna.Zitto huwa namkubali sana natamani sana amtolee pimbi mmoja mfano....
MkuuHahahaa...... Zitto kwa mikwara ya matumizi ya mitishamba hajambo!!
Kala, kashiba. Huwezi kumwambia lolote litakalomwingia akilini wakati akijiona hakuna zaidi ya wao. Wakati huu wanaamini wametumwa na mungu kufanya yote wanayofanya. Mtu kama huyo huwezi kumwambia jambo lolote akakusikiliza.Ni kiburi cha uzima tu kinachokusumbua. Yote kwa yote hakuna mwenye hati-miliki ya dunia hii. Maskini, tajiri, mwenye mamlaka, kapuku kama mimi - wote tunapita tu. Tutangulizeni tu, mtatufata huko mnakotulazimisha kwenda kabla ya mapenzi ya Mungu.
Machozi ya mwenye haki hayapiti bure kamwe. Hakimu Mwenye Haki anarekodi kinachoendelea na wakati unaompendeza ukifika atafaya linalompendeza.....
Anajua hilo ila anaongea ili aonekane ni untouchable.Inadhani hatambui hilo?
Kuna sababu za kutekwa kwa MO na ni hao watekaji watawaambia polisi na wasuluhishi ni nini madai yao.
Tungojee na tuvute subira, tuwe wapole na shughuli ziendelee kama kawaida.
Subira yavuta kheri.
Ila hicho kitu ni sensitiveBinadamu haishi kwa mkate tu!