Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Hiyo tunaiitaga mikwara mbuzi,wanaume wakiamua nduguzo watabaki kuambiwa habari za wachina na si wazungu wawil tena
 
Kijana Zitto anapenda kujikweza sana, usikute hakun hata anayemtishia ila anataka tu watu waache kumzungumzia yeye na mke wa Deo. Sawa tumekupata kijana Zitto, we chapa tu mke wa marehemu rafikiyo.
 
Zitto tupe Kwanza mrejesho wa gazeti la musiba
Bila ya hivyo tutaona Ni mikwara
 
Mchawi gani anajifanyia promo mwenyewe ,,
Ili uwe mchawi subiri wao wakuite wewe ni mchawi kwa kuona advatize zako
 
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.

Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
 
Mi naamini Mungu kunasaa anaweza kutumia mchawi kumfichua muuaji
 
Back
Top Bottom