Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Hata juzi wakati bashiru anataka kuadress pale nkrumal hakumuona wakati amekaa pale baada ya zito kuona bashiru hana madhara kwake akajiruhusu mwenywe aonekane ndani ya dk mbili tu baadae akapotea. Mnakumbuka bashiru alidi zitto amekimbia lakini baada ya dk chake akamuona hakuyokea nje alikuwepo palepale. Zito ukimtaka kumtafuta kwa shari humuoni au unaona bwawa tu
 
Kama mh zitto anatishwa na wakubwa asiongelee utekwaji wa Mo basi akina BASHITE watakuwa wanahusika kwenye utekaji
 
Ukurasa wa Musiba umefungwa. Matokeo lini. Aina ya viwanda havipo ulaya
 
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.

Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Watu wategemee nini kutoka kwa jingalao? Ujinga tu. Hakuna hoja. Kuimba sifa na kuikingia kifua serikali.
 
Acha uongo kwani zitto kazungumzia uchawi?
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
 
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.

Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Ni kumpuuza kama alivyopuuzwa tangu awali!
 
Back
Top Bottom