Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Mh Zito ukiona watu wazima wanakusitai jifunze kukaa kimya nadhani kama mwanasiasa unalakujifunzwa Kule Uturuk ndani ya ubaloz wa Saudia. Nadhani nimuda muwafaka tufunge midomo yetu nakuacha wenye mamlaka wafanye kazi nje ya hapo tusilaumu serikali tusilaumu wanasiasa na watu wachache waliobadilika kuwa wasaliti wa Taifa. Kiufupi Tanzania nisalama kuliko kipindi kingine chochote ila ole nikwawalio liujumu taifa hakika ni Ole. Taifa moja kwa pamoja Chini ya mwamvuli wa ccm na Rais wetu Magufuli. End
Bashite wewe utabururwa Dar es salaam usutwe kwa hayo unayoyatenda
 
Kuna mbunge wa CCM kule mchinga, Mundhir Mundhir, alitoa hoja Zitto Kabwe afungiwe bungeni mwaka 2007. Haikupita miezi alipata ajali akakatika mkono.
HATARI KUMBE,unakumbuka ile tweet zitto alitoa juzi,ati imefika muda baraza la mawaziri likae kikao,limpe taarifa jaji mkuu maana inaonekana huyu rais ni kaa afya yake ya akili sio poa,na huyu kichaa aliyeko madarakani hakumufanya zitto chochote
 
Hahahahhh Zitto endelea kuwayambisha.
Kuna mmoja ataita vyombo vya habari kesho kutaka kujinasua watch out!!!
 
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Uchawi hautumiki kumtafuta mtu
 
Zitto huwa namkubali sana natamani sana amtolee pimbi mmoja mfano....
Mikwara tu hiyo ya zitto. Si alimtangazia ultimatum yule mwehu mwenye vijarida vya propaganda za kuwachafua wapinzani kila siku. Mbona hatujaona majibu mpaka leo japo toka siku ile sijamuona tena akiitisha press conference.
 
Wee utakuwa umevurugwa, au ni mgeni jukwaani? Member wa JF hawezi kupaniki kijinga kiasi hicho, pole sana...
Yap member wa jf hawezi kupaniki.sis tunawakilisha mawazo ya watanzania jf ni bunge part 2.
 
Turudi kwenye mada,nyie msiokuwa wenzetu mnapenda sana kupindisha na kutengeneza mazingira kutoka jambo lenye mantiki kuwa jambo lisilo na mantiki,Zito kazungumza vizuri na wazi kabisa,ya uchawi na ushirikina na (marehemu mzazi wake) yanatoka wapi,songa mbele Zito tupo pamoja
 
Back
Top Bottom