Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
hapo pagumu mkuu kuna watu hawagusiki

ushirikina upo ila ni imani yako tu

unapolalia wewe kama ni ulokole au uko kingine anapokusema Zitto

Ingawa zitto anawatisha pia ila inaonyesha jamaa amejipanga kitambo sana.
 
Hahaha kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae ni mtu wakigoma aliniambia mama ake zitto alikuwa mchawi hatari sa sijui alikua anamaanisha au story za kijiweni
Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
 
Zitto na Mtatiro hawa ni kama mapacha, wanaweze kuandika lolote lakini wasiguswe. Kama Lema au Mdee ndio anaandika kama wanavyoandika hao wameshafikishwa mahakamani. Huyu nae atamfata pacha wake karibuni kuunga mkono kwa Jiwe ukiona kitambaa kitandani kina kazi yake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom