Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Kijana Zitto anapenda kujikweza sana, usikute hakun hata anayemtishia ila anataka tu watu waache kumzungumzia yeye na mke wa Deo. Sawa tumekupata kijana Zitto, we chapa tu mke wa marehemu rafikiyo.
kwani uliomba huyu mke wa ndeo akakunyima, maana mambo ya watu wawili ambae wako zaidi ya 18yrs inatoka wapi,kaa ni wapezi inakuhusu nini
 
Wengi washapata mifano mkuu bado nasubiri moto wake MUSIBA , Wapi Mchinga Sound Wapi Mudhihir Mudhir? Dawa ya watu wasiojulikana ni kuwaangamiza kijadi tu believe me inafanya kazi vizuri,kama hauna kosa wameteka ndugu yako wewe ni kuwaendea kwa wataalumu tu na kuwaangamiza hakuna namna.

Zitto alikuwa anaondoka kwenye ajali lakini mizimu ilimuokoa akafa waziri.

Aaah Yule Salome hajaona
 
Kijana Zitto anapenda kujikweza sana, usikute hakun hata anayemtishia ila anataka tu watu waache kumzungumzia yeye na mke wa Deo. Sawa tumekupata kijana Zitto, we chapa tu mke wa marehemu rafikiyo.
kwani kavuja sheria gani kuchukua mke wa marehemu
 
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Nani kasema uchawi hakuna??nenda ngende,,,pande....kilosa afu ulete mrehesho hapa....hapo cjagusa kigoma bob
 
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Huamini kama zito anaweza hayo mambo shinyanga ilikuwaje wakati wa kampeni za udiwani zito aliondokaje mkutanoni.
 
HAAAAAAAAAAAAAAA uiuuuuuuuuuuuuuuuuu iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe noma sana kama babu yako alexander the great,ati awape match, ya nyumbani tu,nakwambia hao watu wasiojulikana hawawezi kamwe kumugusa zitto, yaonekana huyu zitto amejiandaa kweli kweli
Kuna mbunge wa CCM kule mchinga, Mundhir Mundhir, alitoa hoja Zitto Kabwe afungiwe bungeni mwaka 2007. Haikupita miezi alipata ajali akakatika mkono.
 
Naomba kuwepo mchukuano wa mechi kati ya wasukuma na wakigoma,ili tulione bwawa hilo.KG vs Gamboshi
 
Nimefungua thread fast nikidhani Zito anamaanisha kuwa......

"Tutaona bwawa tu la Stiglers Gorge likiwa limejaa maji bila ya kuzalisha umeme wowote!!"

Bwana wewe, nikataka nisome nijue itakuwaje hii kitu.......

Looh, salalee, nimetoka kapa.....sijaona maandishi yoyote si ya Zito mwenyewe wala mleta mada akifafanua.....

Matokeo yake naona watu wameachiwa uwanja kila mtu kuhisi lolote na wengi moja kwa moja wamei - relate ishu yote na hisia zao za kishirikina kwa sababu wengi ndiyo maisha yao hayo!!.

Mimi aka, siko huko.....sijaelewa....sijui lolote...sijui ana maana gani hasa!!
 
Huamini kama zito anaweza hayo mambo shinyanga ilikuwaje wakati wa kampeni za udiwani zito aliondokaje mkutanoni.
Jamaa aliondoka kwa bodaboda kupitia mlango wa nyuma..zito ni genius anatumia akili yake kuwapoteza wasiojielewa kama "wasiojulikana"
 
Nani kasema uchawi hakuna??nenda ngende,,,pande....kilosa afu ulete mrehesho hapa....hapo cjagusa kigoma bob
Mimi ni wa kigoma born and raised lakini sijawahi kuona kitu kama hicho... uchawi ungekuwepo si tungeutumia kumpata MO na Ben saa8.
Au uchawi hautumiki kufanya vitu vya maana
 
hapo pagumu mkuu kuna watu hawagusiki

ushirikina upo ila ni imani yako tu

unapolalia wewe kama ni ulokole au uko kingine anapokusema Zitto

Ingawa zitto anawatisha pia ila inaonyesha jamaa amejipanga kitambo sana.
Kwani Zitto ndie mshirikina pekee Tanzania ? Na ndiye mwanzilishi wa ushirikina Tanzania hadi aogopwe?
 
Mimi ni wa kigoma born and raised lakini sijawahi kuona kitu kama hicho... uchawi ungekuwepo si tungeutumia kumpata MO na Ben saa8.
Au uchawi hautumiki kufanya vitu vya maana
Kama Kigoma uchawi upo Zitto angekuwa Raisi
 
Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
Zitto charge za kisiasa zimeisha baada ya mama yake kufa hana mvuto
 
Back
Top Bottom