Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Unaogopa nn mkuuMie naogopa mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee mi tangu mzee wa Mchinga Mudhihiri Mudhihiri akatike ule mkono namwogopa sana Zitto!

Hali tete mkuu, wasiojulikana wanatukosesha furaha ndani ya moyo Inna:Unaogopa nn mkuu
Sasa Zitto uchawi wake anautumia kwa kipi cha faida kukaba watu usiku wakilala au?Kwani alisha wahi kugombea urais??
Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Mbona nasikia iyo mambo toka kitambo akiwa presenterKashamfanya bwabwa anazibuliwa una taarifa?
kwani uliomba huyu mke wa ndeo akakunyima, maana mambo ya watu wawili ambae wako zaidi ya 18yrs inatoka wapi,kaa ni wapezi inakuhusu nini
kwani kavuja sheria gani kuchukua mke wa marehemu
Hata kama ni chuki si kwa kiwango hiki. Zitto hana mafanikio kama mbunge?
Kwahyo pale anajikaza tu??
Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳Tayari, ndumba imejibu vizuri sana.
Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳