Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,881
- 5,021
Sawa! Acha tuoneNdugu imani ni kinga kubwa sana, ni mjinga tuu anayerogeka.
Sawa! Acha tuoneNdugu imani ni kinga kubwa sana, ni mjinga tuu anayerogeka.
Siku hizi unakufa na kitu rohoni tu hamna namna. Wee Mimi napenda Ku connects dots from different anglesLakini unaweza kushangaa ukija kugundua kuwa kuna wananchi wa kawaida kabisa ambao wamekaa kimya tu kama wewe wakihifadhi maoni yao.
Hivyo hauko peke yako.
Ila na wewe waonekana una uwezo wa kuunganisha dots.
Aisee hawa watu maarufu wayafanyayo huko sirini Mungu anajuaAnamuongezea dozi ya mvuto
Itakuwa hiyo hiyoNn iyo zipu au?
Mkuu hili swala lina mambo mengi sana wewe chunguza from different sides hao watekaji wana lao jambo hata either kuchafua uongozi, au nchi ili kuwatisha hata wawekezaji kwenye mambo ya uchumi. So hii kitu ina assumptions nyingi badoSijui kama ninakuelewa vizuri kwenye jambo hili.
Hivi hakuna taratibu tulizojiwekea kama nchi jinsi ya kuyakabili mambo kama hayo 'sensitive' kama ni kweli?
Kwa nini itumike njia ambayo inahalalisha maovu?
Kwa hiyo sasa tuanze kukubali taratibu zilizoko pembeni mwa sheria maadam jambo 'sensitive' linahusika?
Kikomo cha jambo 'sensitive' ni nini na ni nani anaamua hicho kitu 'sensitive?'
This is a very dangerous slippery slope, and we're being led into it with our eyes wide open! I hope it has nothing to do with it.
HahaaKuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!
Nimeshamuuliza, kasema Zitto hana lolote; anaropoka tu.Kamuulize msiba kama bado anaandika habar za zito na usiku kilimtokea kitu gan? Utapata majib
Nijambo jema kama amekwambia ivo umuulize pia mbona haandik tena hbr za zito ndo utajua doz aliyo pata sio poaNimeshamuuliza, kasema Zitto hana lolote; anaropoka tu.
Hata hilo nalo nilimuuliza. Kanihakikishia kuwa bado anakusanya hizo habari nzito na atazichapisha hivi karibuni. Kaa mkao wa kula.Nijambo jema kama amekwambia ivo umuulize pia mbona haandik tena hbr za zito ndo utajua doz aliyo pata sio poa
Hahaha kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae ni mtu wakigoma aliniambia mama ake zitto alikuwa mchawi hatari sa sijui alikua anamaanisha au story za kijiweni
Kigoma balaa,hatanii huyu nimefika ohoooo ni shida.Mnakumbuka Mdhihiri Mdhihiri yalompata baada ya kumnyooshea mkono Zito?mkono ulivunjika
yawezekana mkuu iko hivyoHahaha kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae ni mtu wakigoma aliniambia mama ake zitto alikuwa mchawi hatari sa sijui alikua anamaanisha au story za kijiweni
Sawa GentaWatanzania mnapenda sana Kutishana na Kudanganyana mno.
hapa hawawezi thubutu mkuu,zitto noma sanaHuyo ndio Kabwe Zuberi Zitto mutu ya Kigoma! Yuko wazi, kama hamuamini jaribuni
HAAAAAAAAAAAAAAA uiuuuuuuuuuuuuuuuuu iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe noma sana kama babu yako alexander the great,ati awape match, ya nyumbani tu,nakwambia hao watu wasiojulikana hawawezi kamwe kumugusa zitto, yaonekana huyu zitto amejiandaa kweli kweliZitto si uwape friendly match tu kidogo (sio lazima ya home and away, hata ya first half tu inatosha), ili waelewe unachowaambia. Maana maneno tu hayatoshi mkuu (neno *for example* ni muhimu sana kama tulivyokua tunafanyiwa primary school na walimu kipindi hatujui kizungu, ukilisikia hilo neno BP inapanda)![]()
![]()
![]()
![]()
zitto anatapatapa,????????????????????????,je kaa zitto anatapatapa je kichaa nae anafanya aje,nipe jibu????Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
Sikujibuzitto anatapatapa,????????????????????????,je kaa zitto anatapatapa je kichaa nae anafanya aje,nipe jibu????