Watu
Platinum Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,472
Kutoka kushoto rais wa 4, rais wa sita na rais wa 5 JMT
Hivi shibuda alipata ubunge
Sentesi yako ya mwisho ndiyo itaamua majaaliwa take 2020.ACT haiko ndani ya UKAWA hivyo Zito hafungwi na maamuzi ya UKAWA. Hakutoka na CCM wameshikilia hilo sasa tungetarajia lipi? Yeye mwenyewe ajua lililoko rohoni mwake na sio lazima akubaliane na assessment ya CCM au UKAWA. Atatumia mbinu ambazo anatarajia zitamfikisha yeye na ACT pale anapotaka. Lakini inabidi awe mwangalifu asije akapoteza dhana ya kuwa mpinzani.
Niliwahi ambiwa Ukiona wazungu wanasifia sana Raisi hasa kutoka Africa basi jua kwamba huyo Raisi mambo mengi sana anayo yafanya niyakuwafurahisha wao, the same na hapa, Kamwe CCM hawawezi sifia Zitto bila kuwa kwamba Zitto kuna mambo mengi anafanya ya kuwafurahisha wao CCM na huu ndo ukweli.
Leo lowassa naye kamanda
Leo lowassa naye kamanda
Tukumbuke kuwa kipindi cha sakata la escrow account, Zitto akiwa Mwenyekiti wa PAC tayari alishakuwa msaliti, mnafiki, CCM n.k. Lakini mbona hakufanya kazi kwa maslahi ya CCM? Uzuri wa Zitto hafanyi jambo ambalo haoni kama litaleta tija kwa wananchi, kwa hilo muiteni majina yote mabaya mnayojua lakini tunaomkubali tutaendelea kumuona kama mwanasiasa makini mwenye kujali maslahi ya nchi na wananchi.
Mkuu afe kisiasa mara ngapi kwani mmesahau mlisema amekufa kisiasa tangu alipotoka chadema na mkaahidi hatorudi bungeni?
Zitto alihujumu upinzani Kigoma mpaka rafiki yake Kafulila sasa kwa nini asipongezwe na Ccm?
Leo hii zitto anapongezwa na wanaccm kwa kitendo kimoja tu cha kubaki bungeni jana..........zitto huyu huyu anayeitwa mpinzani wa kweli sikuwahi kusikia akipongezwa wala kusifiwa na mwana ccm wakati wa swala la buzwagi,richmond, kagoda wala escrow.Cha ajabu sifa zake hazina mwendelezo unaotoka nyuma kukumbushia alichokifanya bungeni ila unaanzia jana na kuendelea.......ni zitto huyu huyu aliyehofia mpaka chakula cha hotelini wakati wa uwasilishwaji wa ripoti ya PAC mpaka kulazimika kumwita ndugu yake aje kumpikia chakula dodoma......leo ni shujaa wa ccm.......Jamani tusiwafanye watanzania wajinga kiasi hiki,..........Hizi siyo sifa ni kejeli kwa ndugu yangu zitto.
CCM wanampenda sana Zitto kwa sababu zifutazo
1.Zitto si tishio kwa CCM kukaa kuendelea kukaa madarakani.
2.ACT imesaidia kwa majimbo mengi ya Kigoma kurudi CCM.
3.Sera za ACT zinashabiana na za CCM kuhusu kupinga uwepo wa UKAWA.