Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
UKAWA na Zitto/ACT si washirika. Kwa nini unasema UKAWA ni wenzake na Zitto? If anything, Zitto/ACT is closer to CCM than anything else.
Alipewa Rushwa na ccm ili abaki mjengoni.Leo hii zitto anapongezwa na wanaccm kwa kitendo kimoja tu cha kubaki bungeni jana..........zitto huyu huyu anayeitwa mpinzani wa kweli sikuwahi kusikia akipongezwa wala kusifiwa na mwana ccm wakati wa swala la buzwagi,richmond, kagoda wala escrow.Cha ajabu sifa zake hazina mwendelezo unaotoka nyuma kukumbushia alichokifanya bungeni ila unaanzia jana na kuendelea.......ni zitto huyu huyu aliyehofia mpaka chakula cha hotelini wakati wa uwasilishwaji wa ripoti ya PAC mpaka kulazimika kumwita ndugu yake aje kumpikia chakula dodoma......leo ni shujaa wa ccm.......Jamani tusiwafanye watanzania wajinga kiasi hiki,..........Hizi siyo sifa ni kejeli kwa ndugu yangu zitto.
Ajabu ya mambo ya siasa yalivyo jana alikuwa mpinzani leo hii a napongezwa kwa kubakia bungeni huyo ndio Zito wa ACT wazalendo
Leo lowassa naye kamanda
Magufuli jana kacheza na Akili za Watanzania anawajua ni wapenda Ahadi ndiyo maana jana aliamua kubadili Hotuba yake na kuamua kujikita kwenye sera alizotumia wakati wa kampeni pia akawa anamsema JK live juu ya Safari za nje aliivua nguo Serikali iliyopita ambayo ndiyo wamemweka hapo ikulu, sasa ajiandae kuhujumiwa maana jana wametoka pale wakiwa na kunyonga mioyoni.Watanzania now wameshikwa na upepo wa Magufuli
hawazungumzi why UKAWA walitoka nje
wanazungumza Magufuli alisema nini na nini kimetokea after..
UKAWA wanaweza jikuta wako sidelined na 'hot issues'...na upepo wa siasa...
..........miaka yote ccm wanapenda wapinzani jina, nanaonunulika wanaokubali msemo wao wa ( yaliyopita si ndwele.......)
Zito kawa mzito kwa sasa ... like mrema like shibuda like cheyo.....
Zito kawa mzito kwa sasa ... like mrema like shibuda like cheyo.....
Hivi shibuda alipata ubunge
..........miaka yote ccm wanapenda wapinzani jina, nanaonunulika wanaokubali msemo wao wa ( yaliyopita si ndwele.......)