Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Unajua wabunge wengi bado hawajitambui kuwa sasa ni wakati wa kuwatumikia wananchi nasiyo itikadi za chama hongera sana zito
 
attachment.php
 

Attachments

  • 12232814_1024336520920378_2676344239726192781_o.jpg
    12232814_1024336520920378_2676344239726192781_o.jpg
    56.5 KB · Views: 1,858
Kikwete safi sana kuzuia kikono cha mnafki juu huyu chali naonanga amechapa,na majority of tanzanians diss him......
 
Sasa me kuna kitu siwaelewi hawa wanamsifia zitto kwa kutotoka bungeni, kwakuwa wabunge waliotoka ni wale wanaounda ukawa, sasa zitto angetoka km nani? Na kama angetoka hawa wanaomsifia wangekuja na mada ingine ambayo ingesema "zitto ajipendekeza ukawa" alikuwa hana option zaidi ya kubaki ndani, ukawa walitoka either wakaenda sehemu kujadili mambo yao kwakuwa ni team moja, sasa zitto angetoka angeenda wapi???? Lodge akasubili mkutano uishe au angeenda bar. Ikumbukwe kuwa CCM inapenda watu wa kuambiwa lia, nawao wanalia, wakisema chutama badi naww uchutame rasivyo utakuwa useless kwao

Daahh!!, dhambi ya usaliti inaendelea kumtafuna kwa kasi sana zzk.
 
CCM wanampenda sana Zitto kwa sababu zifutazo
1.Zitto si tishio kwa CCM kukaa kuendelea kukaa madarakani.
2.ACT imesaidia kwa majimbo mengi ya Kigoma kurudi CCM.
3.Sera za ACT zinashabiana na za CCM kuhusu kupinga uwepo wa UKAWA.
 
Zitto ukawa wamemtenga
hivyo anahitaji support ya CCM now ili aweze kuwa mwenyekiti wa PAC...
sio usaliti...ni political calculations tu
Uko sahihi,ingawa sina hakika kama ame calculate vizuri risk itakayoambatana na kitendo hicho(cha kuonekana mpinzani mwenye mafungamano na ccm)Nadhani mnakumbuka kura walizopata Mrema,shibuda,Cheyo.
 
Sasa hivi Membe amebaki ku-reitarate kila statement JPM anayotoa.

Juzi alianza na Safari za nje. Eti "Tulikuwa tunapishana angani utadhani ni wakimbizi nyumbani"
 
Membe ni mojawapo wa makomredi wanaochukia rushwa nchi.alishiriki kwa kiasi kikubwa kulifanya fisadi likatwe na ccm,na akasababisha pia fisadi lisiende ikulu..asante Bernard Camilius Membe,gesi yetu imebaki salama

Hivi mtu akijulikana ameifisadi nchi, adhabu yake ni kumkata kwenye chama au?! Kwa mawazo kama yako, mimi naachana na siasa za Tanzania. Ngoja nijikite kwenye taaluma yangu! Ni aibu sana mtu kutoa hoja kama hii hadharani.
 
Zitto alihujumu upinzani Kigoma mpaka rafiki yake Kafulila sasa kwa nini asipongezwe na Ccm?
 
Ni kama vile anasema:

Kikwete- Dr Huyu kijana ana siasa makini za hoja zinazoweza kuharibu kabisa serikali yako......Buzwagi, escrow alizisimamia kweli kiasi cha kuniletea madhara.

Magufuli- Nataka nimteue Mghwira ubunge, shida utakua na nguvu sana na kutishia uhai wa ccm
 
Back
Top Bottom