nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
haa haa ukiona adui yako anakusifu jitazame upya. act sio chama cha siasa bali ni tawi la wasaliti...
Kamasi tupu
zile milion 700 za mhindi wa Quality Group zilikuwa zinaenda kwa nani?Membe ni mojawapo wa makomredi wanaochukia rushwa nchi.alishiriki kwa kiasi kikubwa kulifanya fisadi likatwe na ccm,na akasababisha pia fisadi lisiende ikulu..asante Bernard Camilius Membe,gesi yetu imebaki salama
Katokea wapi tena huyu:what: anajikomba sababu wizara aliyokuwa anaiongoza ndio imetajwa imeongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi:what: sasa anatafuta gia ili magufuli ampe ubunge kwenye zile nafasi 10 za rais au:what:
mbona mchawi hujui anakotokaHakuna MTU mnafiki kama ZIGO ZITTO LA KABWELA. Kwani hamumjui kuwa ni ccm b na anasubiri huruma ya Pombe angalau chama chake cha ACT kipate hata mbunge mmoja wa kuteuliwa, siunajua kukaa peke yake kama mchawi bungeni ni aibu .
ACT ni chama cha wasomi wenye kujitambua.