Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Nilidhani Cheyo na Mrema wameisha bungeni kumbe wapi another Zitto Mrema na Zitto Cheyo......shangaa anabadilishana majimbo na mbunge wa CCM ajabu na kweli
 
Wabunge wa upinzani walianzisha zomea kwa lengo la kumzuia dr.shain chakushangaza badala ya kumshika tanganyika jeck na kumsokomezea nje ya bunge wakaishia kutimuliwa wao.

Katika timua hiyo kidume zitto aligoma kutoka na kubaki ndani cha ajabu ndugai alikuwa mpole wakati nayeye zitto alikuwa anazomea hii inaonyesha zitto ni mbunge pekee mbabe.

Hana cha ubabe ni njaa na kujikomba
 
Amani iwe kwenu wakuu,wakati jana rais akiwa anahutubia kiongozi mkuu wa chama cha act Zitto alibaki bungeni hali ya kuwa wabunge wengi wa upinzani walikuwa nje baada ya spika kuwatimua kwa kutotii kiti,wabunge hao walikuwa wanahimiza maalim seif apewe ushindi wake,baadhi ya wanachama wa act wamehuzunishwa kwa kitendo cha kiongoz wao kubaki ndani hali ya kuwa ni mpinzani wanachama hao wanasema kitendo alichofanya zitto ni sawasawa na yale aliyokuwa anafanya mrema na cheyo,hali iliyopelekea baadhi ya wanachama kuchoma kadi zao

Tulishasema kuwa act ni tawi la ccm
@ mcubic
 
sasa unatarajia afanye nini? atoke aende wapi? walikaa akina mrema, Shibuda na Cheo wako wapi leo? Dambi ya unafiki ni mbaya sana inatafuna hadi mifupa.

Kwahiyo tutegemee na zzk kwisha kama hao uliowataja?
 
Wabunge wa upinzani walianzisha zomea kwa lengo la kumzuia dr.shain chakushangaza badala ya kumshika tanganyika jeck na kumsokomezea nje ya bunge wakaishia kutimuliwa wao.

Katika timua hiyo kidume zitto aligoma kutoka na kubaki ndani cha ajabu ndugai alikuwa mpole wakati nayeye zitto alikuwa anazomea hii inaonyesha zitto ni mbunge pekee mbabe.


Mi spendi wakurupukaji, hebu leta Hoja yenye maana tufunguane vichwa bana, kubaki alibaki, sawa. Sasa wewe ulitaka atoke ili iweje wakatu anaipinga ccm na at the same time anaupinga upinzani???? Au unataka tuwatukane wapinzani????? Unajua walimaanisha nini kufanya vile???? :angry::angry:
 
Lengo la kuzomea ni kupinga uwepo wa dr.shain mtu mmoja wao wako mia, walishindwa nini kumfurumusha nje ya bunge na wakaendelea na mambo yao? kinga ya bunge iko wapi sasa? Mie nilitegemea badala ya kuzomea wangeomba mwongozo wa spika kwanza juu ya uhalali wa kuwepo kwake.


iv naaawee, mbona unachekesha tulionuna. Je,ulikuwepo au uliangalia mwanzo mwisho wa kikao kile?

je,hufahamu aliyeomba mwongozo wa kutomtambua mr shein?

je,unafikili walianza anza vipi kuzomea?
 
Back
Top Bottom