Zitto kugombea urais 2015?

Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Wapenda mabadiriko tumwombe mungu sana hali ya sasa sio nzuri. habari niliyoipata kutoka kikao cha jana lumumba ni kuwa mmnyika asipite na nguvu kubwa zitaelekezwa huko lakini kwa Zitto ana baraka kubwa sana na kama chadema watamtimua basi atateuliwa na raisi kuwa mbunge. sasa nakuja huku na kuikuta hii tena ya kuwa Raisi basi inabidi niwe hoi mtu aliye niambia nilidhani ananitania.

.
Source p/se!
Kufikiri ccm ndio wanaotoa ubunge ua tofauti yake ni ulimbukeni wa kujitambua. Rudi katika akili zako, kataa utumwa.
 
Kati ya technical error or misculculated strategy jamaa yangu Zitto alilofanya ni kuonyesha nia ya kugombea 2015... hili linaweza kuleta mgogoro CHADEMA... tuepushe... hayo.
 
Lol, kwa nini wauliza hivyo?

..Unajua jamaa huwa ana makala nzuri sana kwenye Sunday Citizen ya kunyoosha 'Viingereza' vya watu.
Naona kama na wewe unafanya hivyo hivyo hapa. Angalau sisi ambao 'viingereza' vyetu vina matege tunapata chance ya kuvinyoosha.
kinda like it.:cheer2:
 
Kati ya technical error or misculculated strategy jamaa yangu Zitto alilofanya ni kuonyesha nia ya kugombea 2010... hili linaweza kuleta mgogoro CHADEMA... tuepushe... hayo.
Una maana ya 2015?
 
...there are so many contradictions in your statement, kama ingelikuwa ni kinyesi, basi ni kile chenye harufu ya embe!!!

Hizo kauli ni typical Chadema. Huwezi kukuta hata TLP wanaandika kama wewe. Ishara ya kwamba wote mnafanana kielimu na mgombea mwenza wenu. Ila utanikubali muda ukifika. Muda huu uko gizani sana.
 
[/U][/B]

Mbona unahangaika sana kutetea wezi na wewe mwizi nini wakati unayemtetea hafiki siku ya uchaguzi?
 
Superman kasema anayo clip ngoja tumsubiri atuwekee tujionee na kusikia wenyewe kinachodaiwa kusemwa....

Ina maana hadi wakati huu ulikuwa bado hujaona wala kusikia matamshi yake.......du, ndio analysts wa kizazi kipya
 
Well well well wakuu

Nathibitisha kwamba ni KWELI...ijapokuwa hajatamka hivyo yeye mwenyewe.

Nimeamua niconcentrate sasa kwanye habai, TBC wamemuonyesha na amesema ikifika 2015 akienda tena pale sio kwamba atakuwa anagombea ubunge, ila ...urais, kwa mujibu wa waliokuwa mkutanoni, I mean aliwauliza, na kuwataka wajibu kwa sauti , kwamba akienda tena atakuwa anagombea urais...kama mara tatu hivi

samahani siwezi kuweka clip labda ataweka SUperman, sasa mjadala unaweza kuendelea ktk muktadha wa mwanzoni.,....

Zitto alishanunuliwa kitambo tangu kwenye kamati ya madini ya JK. Yupo Chadema picha tu, akili yote CCM na anafanya kazi ya CCM.
 
Zipo tetesi na pia nafikiri Zitto mwenyewe alikiri kuwa atagombea urais 2015.Je,kama hivyo ndivyo hii naiyona kama ni dalili ya CHADEMA kukata tamaa kuwa hawatashika dola uchaguzi huu.
Nasema hilo kwa kuwa inafahamika na imezoeleka kwamba Rais atakaa madarakani kwa miaka 10,yaani vipindi viwili(kama Rais huyo hana matatizo na pia kama chama pinzani hakijashika dola).
Au wadau mnasemaje?
 
Hayo ni mazoea ya CCM ndugu....kama itaonekana kuwa Zitto anafaa kuwa Rais 2015 basi itakuwa hivyo...unajua Mandela alikaa madarakani vipindi vingapi?.....si ajabu na Slaa kukaa kipindi kimoja...inaweza tosha pia
 
Zipo tetesi na pia nafikiri Zitto mwenyewe alikiri kuwa atagombea urais 2015.Je,kama hivyo ndivyo hii naiyona kama ni dalili ya CHADEMA kukata tamaa kuwa hawatashika dola uchaguzi huu.
Nasema hilo kwa kuwa inafahamika na imezoeleka kwamba Rais atakaa madarakani kwa miaka 10,yaani vipindi viwili(kama Rais huyo hana matatizo na pia kama chama pinzani hakijashika dola).
Au wadau mnasemaje?

Ungekuwa mtoto tungekuambia nenda kajisaidie ukalale. Hivi wewe ulikuwa wapi wakati tunajadili kuwa mwaka 2015 Zitto atakuwa na miaka 38 ambao ni umri mdogo kumbea urais? Ulikuwa wapi wakati watu wanajadili kuwa umri wa chini kugombea urais ni miaka 40? Nenda kalale haraka.
 
Hayo ni mazoea ya CCM ndugu....kama itaonekana kuwa Zitto anafaa kuwa Rais 2015 basi itakuwa hivyo...unajua Mandela alikaa madarakani vipindi vingapi?.....si ajabu na Slaa kukaa kipindi kimoja...inaweza tosha pia[/QUOTE

Heshima mkuu naomba kujuzwa Zitto ana umri gani ?.Ukishajua miaka yake ongeza miaka mitano sidhani kama atakuwa amefikisha miaka 40 ili kukidhi matakwa ya katiba ya JMT.
 
Suala la umri ni la kikatiba....CHADEMA wameahidi kuibadili pindi wakichaguliwa...inawezekana hiyo threshhold ikashuka mpaka hata 35 years....suala si lazima Slaa atawale two terms.....
 
Hayo ni mazoea ya CCM ndugu....kama itaonekana kuwa Zitto anafaa kuwa Rais 2015 basi itakuwa hivyo...unajua Mandela alikaa madarakani vipindi vingapi?.....si ajabu na Slaa kukaa kipindi kimoja...inaweza tosha pia[/QUOTE

Heshima mkuu naomba kujuzwa Zitto ana umri gani ?.Ukishajua miaka yake ongeza miaka mitano sidhani kama atakuwa amefikisha miaka 40 ili kukidhi matakwa ya katiba ya JMT.

Sasa hivi Zitto ana miaka 33, mwaka 2015 atakuwa na miaka 38 umri ambao haumruhusu kugombea urais. Hili tulilijadili sana hapa, ndiyo maana namwambia alikuwa wapi wakati huo huyu aliyeleta posti hii. Tena nikamwambia angekuwa mtoto tungemwambia akajisaidie akalale haraka.
 
Tutabadili katiba tukishashika nchi....hiyo miaka 42 waliweka CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom