NyakaiIkagogo
Senior Member
- Nov 5, 2013
- 182
- 46
Mh.Zitto ni sawa na watu 2000 wenye akili na uelewa kama wa Dikiteta Mbowe!.Najiandaa kuhama Ukawa na kuelekea kwa Mwami na Luyagwa wetu Zitto !
Mungu awatangliekavunja katiba wapi Mkuu tuhuma za kutengenezwa na mwenyekiti na genge lake.wengi tutaondoka na zitto.
Mkuu tokea Kagenzi ahasiwe naona mademu zake humu JF wamepagawaHyakuhusu...mbebe na nai wakati wewe haupo CHADEMA.Mtuache kama chama kitakufa kife tu...watu hovyoooooo
Ili uelewe Tundu Lissu ana akili nyingi sana. Zitto alitaka kulifanya hilo la kuaga kabla Chadema haijatangaza kumfuta uanahma ili ionekane ameondoka kishujaa, sasa tamko la Lissu limemfanya aondoke kama mtu aliyefukuzwa. Yaani mimi CDM inanifurahisha sana.
Ili uelewe Tundu Lissu ana akili nyingi sana. Zitto alitaka kulifanya hilo la kuaga kabla Chadema haijatangaza kumfuta uanahma ili ionekane ameondoka kishujaa, sasa tamko la Lissu limemfanya aondoke kama mtu aliyefukuzwa. Yaani mimi CDM inanifurahisha sana.
Nenda! Siku ukiamua au mmoja wenu kugombea uenyekiti act ndo mtamjua zzk. Au nyie ni wafuasi tu?
Mkuu mimi mwenyewe niliamini ZZK ni msaliti,Lakini baada ya kuurudia kuusoma waraka wa Chacha Wangwe nikaamini kabisa Zitto sio MSALITI na ntamuunga mkono.Kwa hatua anazotarajia kuchukua.Mkuu hoja nzito tunawaachia nyie...tuacheni sisi wenye akili ndogo tubaki tulivyo.
Mkuu mimi mwenyewe niliamini ZZK ni msaliti,Lakini baada ya kuurudia kuusoma waraka wa Chacha Wangwe nikaamini kabisa Zitto sio MSALITI na ntamuunga mkono.Kwa hatua anazotarajia kuchukua.
Hahahaha umenifurahisha sana aiseee.Ila tuache utani Zitto ni kiongozi mzuri na chadema lazima kwa hili itawacost sana
Zzk Ndio mwenye Akili timamu na mwenye kupambanua mambo ndani ya chadema yote. Walio baki ni mbulula tuu hasa wale viongozi Wa juu ni wachumia tumboKwa hio Zito ataishi milele?
Kwa hio Tanzania bila yeye haiwezekani?
Kwa hio yeye ndiye mwenye akili kuliko wote ?
Kwa hiyo yeye ndiye anaweza kuibua mijadala kuliko wote?
Au hujui kuwa mwaka 2015 sura zitakazoingia bungeni zitabadilika.
Ni mbaya sana kuwa mfuasi wa mtu na sio itikadi...Poleni sana
Nyie ni wale ambao kama jamaa akinya hadharani mtampongeza tu
nimekuwa nikifuatilia watu wenye maoni kama yako nimegundua wote mko na one thing in common nayo ni join date, wengi wenu mmejiunga Feb na March this year, ninachojiuliza is it coincidance au kuna mpango tusioujua?
tutaondoka wengi tu hili limefanywa kwa chuki tu hakuna sababu za kumfukuza zitto.tunajua ni chuki dhidi yake Kwa sababu ana upeo mkubwa na ushawishi kushinda viongozi.na mlijua suala hili lingepelekwa baraza kuu zitto angewapiga chini mmeamua kutumia ubabe.hii haikubaliki hata kidogo.nasema chedema tutaondoka wengi Zitto usijali tuko na wewe mpaka mwisho.