Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Bungeni anafanya nini hata kwa dk moja tu, sio haki maaana sio mbunge tena; ZZK ni mwizi wa mali ya umma, spika anasaidia wizi huu, taarifa gani haijafika bungeni ili hali magazeti, tv redio hata twitter na whatsapp zimewafikia? aaaaah bado barua, ina maana barua pepe hawajapata???
 
Kwa taarifa yako zito ndo alikuwa anakipunguzia chama majimbo. Kama ni muhimu sana muiteni Kwenye kampuni yenu ya ccm.
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"
 
Last edited by a moderator:
Walevi kama wewe mpo wengi Ufipa. Mmemfukuza wenyewe alafu unadai ni mkakati wa ccm????

Tatizo lenu mkishamfukuza basi asirudie tena kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa! Kama ni roho mbaya nyie watu mmezidi...

Kumbukeni hata Cuf na Nccr mliwatukana sana hadi kuwaita ccm b lakini haohao leo ndo ukawa na chadema. Sisimizi Kafulila ndo yupo kwenye serikali kivuli ya Mbowe kwa kofia ya NCCR, sasa kwa zitto kutafta jukwaa jingine la kisiasa baada ya kutimuliwa kwenye chama chake alichokipenda kwa moyo wake wote kama mbwa kwann iwe nongwa?

Acha kukabidhi ubongo wako kwa wanasiasa badala yake wakuamulie nini cha kufikiri, ifike hatua mtumie vichwa vyenu kufikiri sawasawa.

Mkuu hajatimuliwa kama mbwa, ni katiba ya chama chake alichokipenda sana na kukitumikia kwa moyo wake wote kikiwa na kayiba hiyo hiyo aliyo ipenda sana Iguess!
 
tutaondoka wengi tu hili limefanywa kwa chuki tu hakuna sababu za kumfukuza zitto.tunajua ni chuki dhidi yake Kwa sababu ana upeo mkubwa na ushawishi kushinda viongozi.na mlijua suala hili lingepelekwa baraza kuu zitto angewapiga chini mmeamua kutumia ubabe.hii haikubaliki hata kidogo.nasema chedema tutaondoka wengi Zitto usijali tuko na wewe mpaka mwisho.


Wewe mdanganye msaliti mwenzio kwa sababu wewe hauna unachoona unapoteza kwa sababu ya uelewa wako.Card yenyewe yakupigia kura uliuza upate elfu 5 na mwenzio anapoteza kuanzia mafao mpaka ushawishi kwenye jamii,kiburi kitawaponza kwa sababu hata hicho chama hakitaendeshwa bila miiko yake kama geto,hicho chama hakitaendeshwa bila fedha ndugu.Tunawatakia kila lakheri huko muendako!
 
Bungeni anafanya nini hata kwa dk moja tu, sio haki maaana sio mbunge tena; ZZK ni mwizi wa mali ya umma, spika anasaidia wizi huu, taarifa gani haijafika bungeni ili hali magazeti, tv redio hata twitter na whatsapp zimewafikia? aaaaah bado barua, ina maana barua pepe hawajapata???
Mkuu mwambie LEMA amtoe kwa nguvu mbona alitaka kumtoa Prof Muhongo,Mnashindwaje kumtoa ZZK?
 
Bora ahame tu,ni afadhali kula mchicha ukiwa na amani kuliko kula nyama ukiwa huna amani.

Zitto popote uendako tutakuunga mkono. Hatuwezi kuacha kupalilia weledi ulionao. Naamini maslahi ya taifa hili hayatajengwa na chama bali watu wenye kariba ya Zitto.

Naona naye amekupa like, nashukuru kwa kuwa umekubari kuwa cdm ni nyama

Cc; uaminifukazi
 
Last edited by a moderator:
Wewe mdanganye msaliti mwenzio kwa sababu wewe hauna unachoona unapoteza kwa sababu ya uelewa wako.Card yenyewe yakupigia kura uliuza upate elfu 5 na mwenzio anapoteza kuanzia mafao mpaka ushawishi kwenye jamii,kiburi kitawaponza kwa sababu hata hicho chama hakitaendeshwa bila miiko yake kama geto,hicho chama hakitaendeshwa bila fedha ndugu.Tunawatakia kila lakheri huko muendako!
Asante mkuu na nyinyi mbaki salama salimini.Maana wengine tumeshindwa kuvumilia dhambi hii ya ubaguzi na kumzushia MZALENDO ni MSALITI bora akale UGALI na KISAMVU kwa amani kuliko Ugali na nyama kwa MASIMANGO.
 
Tundu Lissu ndiyo alimvua zitto ubunge? Duuu.

Hizo kura za ukawa atakazozigawa ni ngapi coz wapiga debe wote wa zitto wako CCM sasa sijui kama unaelewa sawasawa kitakachotokea.

Mkuu kwa hiyo wapiga kura wa CCM ndo walimuwezesha zitto kuingia bungeni?
 
Tuna kazi kubwa na safari ndefu kwa Tz kupata viongozi wakweli, waadilifu na wenye mrengo wa kuwakomboa wananchi.

Skuhizi kiongozi mzuri anataka ashike madaraka lengo hasa ni kulipiza kisasi, kukomoana, chuki ilimradi jamii iyone tu kwamba kiongozi fulani sio wa kuchezea huku maendeleo ya jamii na Nchi yanazidi kudumaa.

Munafkiri Zitto Kabwe kokote atakakohamia atakuja na ukweli kuhusu hila/matatizo yanayofanywa na kuendelezwa na ccm tokea 64 kupambana nayo? atakuja na zile zile chuki tu za Chadema kumfukuza uanachama na mikakati ya kuiua Chadema hata kama hatafanikiwa lakini this is the situation ya Viongozi wetu wa Kiafrika.
 
Aende zake hatutaki misaliti sisi chadema bado imara mfwee tu mnaoiwazia mabaya chadema!!!!
 
tunasubiri aage wengine wawe makini na kujichunga matendo yao iwe ndani ya CCM au chama cha upinzani, huwezi kuwa na pembe kubwa kuliko chama chako
 
Ni mropokaji sio mtu wa mikakati

Hahaha naisubiri jion kwa hamu nishuudie zitto anavyopigwa goli nyingi kabla hata ya dakika 90
Mtu ni majeruhi lakini wanamshauri aingie uwanjani acheze si kutafuta kifo huko?
Huu ndio mwisho wa huyu bwana kwenye medani za siasa tanzania na dunia kwa ujumla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom