Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Taarifa zilizosambaa bungeni ni kuwa, mbunge wa Kigoma kaskazini, Zitto Kabwe anakusudia kuaga wabunge wenzake leo.

Taarifa zinasema Zitto alitaka kufanya hivyo kabla ya kukabidhiwa barua na chama chake tangu siku ya jana ila alitulizwa na spika Makinda.

Pia,gazeti linaripoti kuwa anakusudia kujiunga na ACT katika muda wa siku 8 zijazo.

Chanzo:Nipashe

Ana wahi ACT ili akagombee urais kwalengo la kupunguza kura za UKAWA dhidi ya magamba. Nimpango wa mudamrefu wa magamba, hasa ukizingatia jinsi act yenyewe ilivyo anza anza. Go are way msaliti.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kakubaliana na Peter Serukamba wa CCM wabadilishane majimbo!

Kwa sababu Serukamba anajua hawezi shinda Kigoma Mjini basi anakwenda Kigoma Kaskazini,kwa.vile Zitto alijiona MBUNGE wa Taifa so hakufanya lolote Jimboni atahamia Kigoma Mjini

Siasa za wana siasa hawa vijana ni za hovyo hovyo sana na makubaliano yao yana baraka zote toka CCM
 
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

njia nyeupeee! kwa ccm / wametegwa wakategeka!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la huyu bwamdogo ZZK anapapara sana na uongozi, muda wake wa urais bado
Mkuu siyo papara bali mbonyeza limoti pale lumumba vitufe alivyo bonyeza vilielekeza display ya ki papara papara. Ukiwasha tv na kukutana na picha chafu tatizo siyo screen bali mrushaji.
 
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

ZITTO hana tofauti na SHIBUDA.
kinachowamaliza ni kuendekeza njaa
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni vilaza tu, sasa mijadala iliyokuwa inaibuliwa na Zitto ni nani atakayeiibua?

Tukumbuke kuwa huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kumchana mtu live kama alivyofanya kwenye ile ishu ya Buzwagi alivyotamka wazi kuwa mawaziri waliotoa kauli zilizohusu lile sakata ni waongo.

Kwa hio Zito ataishi milele?

Kwa hio Tanzania bila yeye haiwezekani?

Kwa hio yeye ndiye mwenye akili kuliko wote ?

Kwa hiyo yeye ndiye anaweza kuibua mijadala kuliko wote?

Au hujui kuwa mwaka 2015 sura zitakazoingia bungeni zitabadilika.

Ni mbaya sana kuwa mfuasi wa mtu na sio itikadi...Poleni sana

Nyie ni wale ambao kama jamaa akinya hadharani mtampongeza tu
 
Tatizo la huyu bwamdogo ZZK anapapara sana na uongozi, muda wake wa urais bado

Safi sana mkuu kwakuliona hili, nilimsikiliza kwenye 45mnts ya ITV jinsi alivyo kuwa anaonyesha tamaa ya kuwa kiongozi mkubwa, nadhani ngetulia kidogo, watu wanamuona na wakatiwake ungefika tu.
 
Walevi kama wewe mpo wengi Ufipa. Mmemfukuza wenyewe alafu unadai ni mkakati wa ccm????

Tatizo lenu mkishamfukuza basi asirudie tena kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa! Kama ni roho mbaya nyie watu mmezidi...

Kumbukeni hata Cuf na Nccr mliwatukana sana hadi kuwaita ccm b lakini haohao leo ndo ukawa na chadema. Sisimizi Kafulila ndo yupo kwenye serikali kivuli ya Mbowe kwa kofia ya NCCR, sasa kwa zitto kutafta jukwaa jingine la kisiasa baada ya kutimuliwa kwenye chama chake alichokipenda kwa moyo wake wote kama mbwa kwann iwe nongwa?

Acha kukabidhi ubongo wako kwa wanasiasa badala yake wakuamulie nini cha kufikiri, ifike hatua mtumie vichwa vyenu kufikiri sawasawa.

Mkuu umesema ukweli mtupu.
 
tuna mfuata kokote aendako, tunajua act haiwezi shinda ila kura za cdm kuwa zimepungua

Mtapata kura za wasaliti tu nyie. Mfuateni huyo ila mfahamu kitu kimoja anatumiwa na CCM !!!!!!!!!!!
 
zitto ameshakwisha kisiasa his career is over like mike anyone jackson,jordan,tyson.
 
Kwa hio Zito ataishi milele?

Kwa hio Tanzania bila yeye haiwezekani?

Kwa hio yeye ndiye mwenye akili kuliko wote ?

Kwa hiyo yeye ndiye anaweza kuibua mijadala kuliko wote?

Au hujui kuwa mwaka 2015 sura zitakazoingia bungeni zitabadilika.

Ni mbaya sana kuwa mfuasi wa mtu na sio itikadi...Poleni sana

Nyie ni wale ambao kama jamaa akinya hadharani mtampongeza tu

hatuwezi kuunga mkono unafiki unaofanywa na Chama, na hata akifa ataacha legacy kwa utumishi wake uliotukuka.Kuna watu kibao ambao wanahitaji kuwa kama Zitto,ukizungumzia siasa za Tanzani Zitto ni role model hasa kwa vijana.
 
Wakati Slaa yuko CCM.

Hahahaha we jamaa umetisha... huyo msukule anakuuliza ulijiunga lini CDM? Hajui kama watu tupo Chadema toka 1993 kabla ya hawa wanaojiita wenye chama hawajaja cdm na wengine walikua makada wazuri wa CCM enzi hizo japo leo ndo wanajifanya wenye chama!

Kwa mwenye picha ya Dr.Slaa akiwa ndani ya Gamba la Kijani tafadhali atuwekee hapa.
 
Afadhali mkuu umewaambia manaake wanakurupukia mambo.
 
hatuwezi kuunga mkono unafiki unaofanywa na Chama, na hata akifa ataacha legacy kwa utumishi wake uliotukuka.Kuna watu kibao ambao wanahitaji kuwa kama Zitto,ukizungumzia siasa za Tanzani Zitto ni role model hasa kwa vijana.

Sawa ....usiunge mkono....Tupo tunaounga mkono uamuzi wa chama.Unamuunga mkono zito mfuate huko ACT....Akitoka ACT kwenda UDP mfuate hukohuko pia...hahaahah...childish
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom