Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Sasa nibaki Chadema kuna nini?zaidi ya wahamasishaji maandamano hao ndio waliobaki.Vp maandamano yajayo tubebe tena mikate manaake hayana kikomo?

Hyakuhusu...mbebe na nai wakati wewe haupo CHADEMA.Mtuache kama chama kitakufa kife tu...watu hovyoooooo
 
Haina shida zitto naondoka na wewe chadema.mambo gani haya tunajiita Chama Cha kidemokrasia wakati matendo hayaoneshi.
 
Hyakuhusu...mbebe na nai wakati wewe haupo CHADEMA.Mtuache kama chama kitakufa kife tu...watu hovyoooooo
Mkuu ngoja sisi tuondoke CDM.Tunawatakia kila la kheli tunaamini mtakuja na hoja nzito zaidi za kuiangusha Serikali.
 
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

sheria ndio imemvua zitto uanachama sio mh.Lissu! Zitto alishafuatiliwa sana ndio maana w
chama kikafikia uamuzi huo
 
Last edited by a moderator:
na je makakti wa chadema wenyewe uko wapi? hivi ni lini ndani ya vyama vya siasa kutakuwa na demokrasia ya kweli, maana ukitaka ugomvi katika upinzani tangaza kugombea uenyekiti cha moto utakipata, mm naamii kwa mtanzania mzalendo ni bora uishi bila kuwa na chama maana hivi vyama ni pasua kichwa, ,,,,naamini siku wakiruhusu mgombea huru basi vyama vyote vya siasa vitakufa,,,,,,,,
 
Haina shida zitto naondoka na wewe chadema.mambo gani haya tunajiita Chama Cha kidemokrasia wakati matendo hayaoneshi.
Mkuu usilaumu lazima tukaendeleze siasa nje ya CDM.Mimi kinachoniuma zaida TL katoka NCCR,Lema TLP,Lwakatale CUF,hao wote na baadhi ya wengine wanafaidi Jasho la ZZK.Halafu ndo wazalendo wa CDM.
 
Zitto ni zaidi ya wabunge 100 ukiwakusanya pamoja.
-
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni chama cha mabepari UCHWARA kilichosheheni 'Mandundami' (saidia mganga), siku ndundami hawa watakapojitambua japo kwa kuchelewa huo utakuwa ndio mwisho wa chama. Zitto atasaidia SANA kuleta ukombozi kabla ya kuifikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi. Kwa sasa yeye ni DHAHABU iliyo TANURUNI!
 
Bora ahame tu,ni afadhali kula mchicha ukiwa na amani kuliko kula nyama ukiwa huna amani.

Zitto popote uendako tutakuunga mkono. Hatuwezi kuacha kupalilia weledi ulionao. Naamini maslahi ya taifa hili hayatajengwa na chama bali watu wenye kariba ya Zitto.
Hii inaweza kuwa post bora ya mwaka huu
 
nimekuwa nikifuatilia watu wenye maoni kama yako nimegundua wote mko na one thing in common nayo ni join date, wengi wenu mmejiunga Feb na March this year, ninachojiuliza is it coincidance au kuna mpango tusioujua?

Acha dhana wewe
zzk ana umati
 
ACT ni zao la CCM kwa mamluki wake! ZZK sasa atapata nafasi ya kupayuka majukwaani kwa maslahi ya CCM!!! Hope ameweza kusoma alama za nyakati vema maana hii move inaweza kumpoteza kwenye uwanja wa Siasa za Tanzania ...
Afanye haraka maana uchaguzi wa act ni tarehe 28 march kwa hiyo apate muda wa kujiunga act na kwenda kuomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti
Mytake wanachama wa siku 10 anachaguliwa mwenyekiti
 
Chadema ni chama cha mabepari UCHWARA kilichosheheni 'Mandundami' (saidia mganga), siku ndundami hawa watakapojitambua japo kwa kuchelewa huo utakuwa ndio mwisho wa chama. Zitto atasaidia SANA kuleta ukombozi kabla ya kuifikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi. Kwa sasa yeye ni DHAHABU iliyo TANURUNI!

Haya ichukueni dhahabu hiyo sasa
 
Ili uelewe Tundu Lissu ana akili nyingi sana. Zitto alitaka kulifanya hilo la kuaga kabla Chadema haijatangaza kumfuta uanahma ili ionekane ameondoka kishujaa, sasa tamko la Lissu limemfanya aondoke kama mtu aliyefukuzwa. Yaani mimi CDM inanifurahisha sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom